John cena is no more!!

Status
Not open for further replies.

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2010
Posts
17,005
Reaction score
20,425
Hii habari imetoka kwenye chanzo changu dhaifu cha newz!

Kuna mwenye habari zaidi?

UPDATES

Nimejiridhisha jamaa hajafa! Nimefatilia kwa ukaribu nikakuta anawasiliana na mafanzii wake mida hii twitter!
@CenasArmyNation @John john cena you very amazing (THE MARINE) 10h ago

@john cena you are so cool your going to regain the wwe title good luck against alberto del rio please retweet 20h ago!

@john cena love uu!! 24h ago!

tutajua udhaifu wa chanzo chako punde! tuvute subira.

Subiri mpaka utakapopata habari kutoka kwenye chanzo cha uhakika ndiyo upost tafadhali

Hii habari imetoka kwenye chanzo changu dhaifu cha newz!
Kuna mwenye habari zaidi?
David Webb a.k.a Jason Charles Bourne, vipi unashindwa kupata taarifa kamili na wewe ni amongst of super spy... Nashangaa vipi walikupa assignment ya kumtafuta Carlos the Jackal.

Umeshasema ni Dhaifu halafu unakuja kuuliza hapa wakati jibu unalo, Kumbe hata JF kuna Masaburi pia. Go & Google it

kama ni twitter wewe sahau maana kule ni kila wiki mtu mmoja maarufu anazushiwa kifo

Hakuna aliepata source makini ili tujue kama ni kweli au la...

Hakuna aliepata source makini ili tujue kama ni kweli au la...

kama uongo vile!!!! vyanzo vingi maarufu havina hii kitu, wenye hamu ya kusema rip kaeni na rip zenu kwanza!!

oooh no! mbona jana nimemuona etv? confirmations plzzz

Mbona alikuwepo jana kwenye summer slam na Cm punk! Halafu kuna entertaiment news nyingi hazitoi hiyo breaking news!

No! it cant be. Unajua Huyu jamaa anawasumbua sana wapinzani kwenye wwe ndio maana tangu 2008 wamekuwa wakimzushia kifo. Godbless John Cena

Afe tu kwanza mchezo wenyewe anaocheza ni 'fake' kama nini sijui.

Hivi mieleka wanaigiza? Ama n kweli? Km wanaigiza mbona kuna watazamaj weng na wenye kuwa na hamasa? Mwongozo tafadhali...

Hivi mieleka wanaigiza? Ama n kweli? Km wanaigiza mbona kuna watazamaj weng na wenye kuwa na hamasa? Mwongozo tafadhali...

Yale ni maigizo kaka kama ingekuwa kweli yale majibaba yangeuwana stejini pale

Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…