Uchaguzi 2020 John Cheyo: Mimi ndiye mwenyekiti wa UDP, Nitashawishi tumuunge mkono Rais Magufuli

lazima awe "poti" siyo?
 
JPM mwaka huu Inshallah atavunja record ya jk ya 2005 ya 80%

Hofu aliyojenga kwa tume ya uchaguzi, hata hiyo 80% ni ndogo. Atatangazwa hata kwa 120%. Hivyo ndivyo walevi wote wa madaraka hufanya.
 
Nani asiyewajua wewe na mrema?
 
KUMBE UDP Bado ipo?, Cheyo toka hata sijaanza kupinga kura ni mwenyeki mpka leo nimepiga kura zaiz ya 1 Bado ni mwenyeki??😂

Mtungi, naomba ufafanuzi utofauti wa kuilazimisha chadema na kumuacha Cheyo tafadhali
 
Kwani kuna kipi kingine ambacho anaweza kufanya?.
 
Huyo sasa hivi ni mwana ccm pure
 
Hawawezi kuvivunja kwani vinatumika kutudanganya kuwa na wao ni wapinzani
Mwacheni tu aunge juhudi, mwenzake Lyatonga kesha tangulia. Niwashauri na vyama vyao wavivunje kabisa au wanasaka ........
 
Cheyo anavizia teuzi, namwambia hivi imekula kwake kwani membe na wenzake sita wamejiapiza kumchomoa jiwe ikulu kwa namna yoyote ile, kumbuka kikwete na nkapa ni miongoni hao sita wenzake na membe!
Teuzi ataiweza lakini
Huyu apumzike tu

Ova
 
Cheyo yupo sahihi.Iwapo ndani ya miaka minne tu tumefika uchumi wa kati je tukimpa miaka ishirini si tutamzidi ata marekani na china
 
Hongera sana mbona liko wazi hata mtoto mdogo analijua
 
Hiyo ni ibada ya sanamu. Usitumie maneno ya Biblia kujidhalilisha. Mtu atapigiwa vipi magoti kama si woga na kujipendekeza kulikopindukia?
Acha kukariri!
Unajidhalilisha.
 
Mzee Mapesa ni Musukuma wa hukohuko na anafurahishwa na mgombea wa CCM anayezunguka na mabulungutu ya Mapesa ya Serkali akiwagawia watu wanaounga mkono juhudi. Hiyo ndo ilikuwa sera yake aliyonadi alipokuwa anawania Urais kupitia Chama chake Cha UDP lakini hata Wasukuma wenzake hawakuona hata cent.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…