King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Umofia kwenu JF,
Yule Mkongwe wa ma DJ John Dilinga al maarufu kama DJ JD kesho atakinukisha ndani ya power jams Ea radio katika bongo oldiez kuanzia saa saba mchana mpaka saa kumi jioni,si kipindi cha kukosa wadau mtaokuwa na axes kirekodini hcho kipindi maana itakuwa hatari.
Access. siyo shoka.unamaanisha nini.......
I love DJ JD That man really Rocks
Ngoja niweke alarm kabisa. Toka Love n Dedication Zone The Cruise
nimemmiss mkali wa wakali dj jd kuna mtu yeyote aliyekuwa na mashoka akarecord hiki kipindi?
alarm yako itakupigia makelele ya bureee...uwe unasoma tarehe za thread kwanza,hii ya mwaka janaaa.
alarm yako itakupigia makelele ya bureee...uwe unasoma tarehe za thread kwanza,hii ya mwaka janaaa.