hakuna link yoyote! weka link mkuu
Ng'ombe hazeeki maini! si unaona Funk Master Flex anazeeka lakini mikono speed ile ile!
Safi! huyu jamaa yupo hatua kibao mbele ya vijana pamoja na umri kwenda.
tayari kaweka kazi zake mtandaoni while vijana ambao huu ni wakati wao hawajafikiria.
Ng'ombe hazeeki maini! si unaona Funk Master Flex anazeeka lakini mikono speed ile ile!
JD Aliwahi kupambanishwa na DJ mmoja mchovu wa Clouds, hilo shindano iligundulika kuwa Ruge yupo nyuma yake kama mratibu. Guess what happened!!
JD Aliwahi kupambanishwa na DJ mmoja mchovu wa Clouds, hilo shindano iligundulika kuwa Ruge yupo nyuma yake kama mratibu. Guess what happened!!
Leo nitapita pale Jolly Isumba Lounge but Mr DJ natanguliza request kabisaaaaa hizi ngoma zisikose 1) Its party-Busta Rhymes ft Zhane! 2) What you want- Next ft Beanie Sigel 3) Between me&you-Ja Rule
mambo ya request line ndani ya JF
Wadau hebu sikilizeni wenyewe muone huyu jamaa alivyo mkali katika upigaji muziki, sikiliza hiyo link
Kwa sasa anapiga muziki kama kawa old skul na flashback pale Isumba Lounge maeneo ya jolly club, barabara ya Ally Hassan Mwinyi.
View attachment 92288
Wadau jamaa mkali kwa kweli tuache utani!
Leo nitapita pale Jolly Isumba Lounge but Mr DJ natanguliza request kabisaaaaa hizi ngoma zisikose 1) Its party-Busta Rhymes ft Zhane! 2) What you want- Next ft Beanie Sigel 3) Between me&you-Ja Rule
mambo ya request line ndani ya JF
Hapo hata mimi sijafanikiwa kufungua hyo link