Huyu jamaa mi nilimkubali long alipokuwa Radio One kama sikosei ,enzi hizo alikuwa anatangaza kipindi flani mchombezo cha kuanzia saa nne usiku ,kuna binti wa kigogo mmoja enzi hizo akikaa Masaki alikuwa hakosi kupiga simu,ilikuwa kama mchombezo wa kiani hivi ,hata akiwa airport kwenda London,bintiye alikuwa hakose kupiga simu,basi hapo ni Michael Bolton toka mwanzo hadi mwisho,na mwishowe jamaa kavuta binti kijumla lol.