John F. Kennedy, CIA na Lee Oswald: Ujuaji Vs Dola, Kitendawili cha dunia ambacho hakijateguliwa mpaka sasa

Hatar sana makala ndefu sana ila nimejifunza mengi
 
Plagiarism Japo umemuacknowlege mwandishi wa kwanza The Bold Ndugu umefanya kitu kimoja Cha kusononesha sana. Umemcopy kila kitu Ndg Habib M Hanga aliyeandika 2017 then Unajiweka na wewe. Umenisikitisha sana!
 
Conspiracy theories ni nyingi kwenye kido cha Kennedy.

Hii yako kabla sijaisoma, nauliza; "Sirhan Sirhan" umemtaja?
 
Imepita zaidi ya miaka 50 , lakini kifo Cha Kennedy kikihadithiwa ni kama vile kimetokea Jana.
Jf Kennedy inaezekana kuwa ndiye Rais maarufu Sana kwa muda mrefu ,

Sent
Fact
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…