Uchaguzi 2020 John Heche achukua fomu ya kuwania Ubunge Tarime Vijijini

Uchaguzi 2020 John Heche achukua fomu ya kuwania Ubunge Tarime Vijijini

Joined
Jul 23, 2018
Posts
46
Reaction score
66
Leo tarehe 15/08/2020 Mheshimiwa John Heche Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini anaemaliza muda wake, amechukuwa fomu ili kulitetea tena Jimbo hilo.

Binafsi naona kama huyu ndiye Mbunge wa Upinzani mwenye nafasi kubwa ya kurudi tena Bungeni kwa jinsi anavyokubalika kwa Wananchi wake.

IMG-20200815-WA0036.jpg
 
Hao watu wa NEC wenyewe wanaonekana kumuunga mkono na kufurahi Heche kuchukua form. Kweli maendeleo hayana vyama.
 
Kila Lakheri Mh. Henche,Ulitendea haki Bunge la 11.
 
Back
Top Bottom