mohoniajoseph1
Member
- Jul 23, 2018
- 46
- 66
Wewe ndio una gawa ubunge?Heche ubunge utausikia tu
Kimenuka !Leo tarehe 15/08/2020 Mheshimiwa John Heche Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini anaemaliza muda wake, amechukuwa fomu ili kulitetea tena Jimbo hilo.
Binafsi naona kama huyu ndiye Mbunge wa Upinzani mwenye nafasi kubwa ya kurudi tena Bungeni kwa jinsi anavyokubalika kwa Wananchi wake.
View attachment 1538472