kwa kwel sina taarifa za kutosha apo, naonaga tu watu wakitaka figo wanasema itoke kwa mtu alie hai lakini pia it makes sense kwa mtu alie hai bado celi znakua hazijaharibika kokoteInawezekana mkuu, wataalamu wafanyie kazi:-
Yes, a kidney from a deceased (dead) person can be transplanted into a patient with kidney failure
Balanced equivalent equation yaan stableuna kilo ngap na una urefu gan
mazoezi usiache mkuu hali ni mbaya sanaBalanced equivalent equation yaan stable
Inawezekana mkuu, muhimu wataalamu wetu waweke bayana na wajenge uelewa kwa jamii.kwa kwel sina taarifa za kutosha apo, naonaga tu watu wakitaka figo wanasema itoke kwa mtu alie hai lakini pia it makes sense kwa mtu alie hai bado celi znakua hazijaharibika kokote
Ili tusiojua tujue.kulikuwa na ulazima gani wa kupost hizo kwenye social media?
Usimalize maneno, leo ni wangapi wenye afya zao wamefariki? Ajuaye mwisho wa binadamu ni Mola pekee.huyu jamaa sjui kama ana mda mrefu anaumw sana, interview ya mwisho alikua anasema anataka kuchukua figo kwa mtoto wake
Wengine wanajifanya wataalamu wa afya. Huyu jamaa namfahamu. Si mtu wa vyombo kabisa. Kumuongelea hivi mgonjwa usiyemfahamu si jambo jema.itakua alikua anapiga vyombo sana ila mazoezi jaman msisahau tunakumbusha sana humu watu wanachukulia utan
Audio: Kuzuia Kisukari Kabla HaijachelewaHivi ni stage gani ya ugonjwa unataka kuiwahi ndio unakua na asilimia nyingi za kupona?
Wewe namba zako za simu hapa watu waone kati yako na Bwege nani ataanza kufa.huyu jamaa sjui kama ana mda mrefu anaumw sana, interview ya mwisho alikua anasema anataka kuchukua figo kwa mtoto wake
una kilo ngap na una urefu gan
Unachukua kabla hajafaKitaalamu, hakuna uwezekano wa kuchukuliwa figo ya mtu aliyefariki akapachikiwa mgonjwa na ikafanya kazi?
Hakika! Upande wa pili angeumwa Mpoto angepewa ndege ya ATCL impeleke IndiaWatu wema wamekutana..