Mkalukungone Mwamba JF-Expert Member Joined Aug 29, 2022 Posts 3,141 Reaction score 7,205 Sep 22, 2026 #1 Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche leo alikuwa kwenye mkutano mkubwa akizungumza na wananchi wa Shinyanga Mjini. Katika mkutano huo wanachi wengi walijitokeza na kusikiliza kinachozungumzwa kutoka kwa kiongozi huyo Your browser is not able to display this video.
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche leo alikuwa kwenye mkutano mkubwa akizungumza na wananchi wa Shinyanga Mjini. Katika mkutano huo wanachi wengi walijitokeza na kusikiliza kinachozungumzwa kutoka kwa kiongozi huyo Your browser is not able to display this video.
Kijukuu cha ngoyayi JF-Expert Member Joined Oct 27, 2018 Posts 3,358 Reaction score 6,667 Sep 22, 2026 #2 Hiki chama ukiacha mapungufu machache ya mmoja mmoja ni tumaini na mdomo wa watanzania