Pre GE2025 John Heche aiteketeza CCM Tarime, Wapoteana hawajui wajifiche wapi

Pre GE2025 John Heche aiteketeza CCM Tarime, Wapoteana hawajui wajifiche wapi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hivi ndivyo unavyopaswa kufahamu ili usipitwe na wakati, hakuna tena ccm Tarime, hii ni baada ya John Heche kuiteketeza kabisa, Wamebaki Polisi tu.

Naomba nifupishe mada, Maana kwa sheria za dini ni dhambi sana kumjadili Marehemu.

Ushahidi huu hapa, Hiki ni kijiji cha Borega, Kata ya Ganyage, Tarime Vijijini, Leo hii

Screenshot_2024-07-05-18-58-12-1.png
Screenshot_2024-07-05-18-57-49-1.png
 
CCM Tarime tukiendeleza migogolo ya wenyewe kwa wenyewe tuwe na hakika tutapigwa kirahisi kabisa.
 
Back
Top Bottom