Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Jul 5, 2024 #1 Hivi ndivyo unavyopaswa kufahamu ili usipitwe na wakati, hakuna tena ccm Tarime, hii ni baada ya John Heche kuiteketeza kabisa, Wamebaki Polisi tu. Naomba nifupishe mada, Maana kwa sheria za dini ni dhambi sana kumjadili Marehemu. Ushahidi huu hapa, Hiki ni kijiji cha Borega, Kata ya Ganyage, Tarime Vijijini, Leo hii
Hivi ndivyo unavyopaswa kufahamu ili usipitwe na wakati, hakuna tena ccm Tarime, hii ni baada ya John Heche kuiteketeza kabisa, Wamebaki Polisi tu. Naomba nifupishe mada, Maana kwa sheria za dini ni dhambi sana kumjadili Marehemu. Ushahidi huu hapa, Hiki ni kijiji cha Borega, Kata ya Ganyage, Tarime Vijijini, Leo hii
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 23,928 Reaction score 63,499 Jul 5, 2024 #2 Kuna clip ya waitara watu wanamtukana na kumuita M b w a inasikitisha Sana kiukweli.
K Kimalingano JF-Expert Member Joined Mar 27, 2023 Posts 709 Reaction score 919 Jul 5, 2024 #3 CCM Tarime tukiendeleza migogolo ya wenyewe kwa wenyewe tuwe na hakika tutapigwa kirahisi kabisa.
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 23,928 Reaction score 63,499 Jul 5, 2024 #4 Your browser is not able to display this video.
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Jul 5, 2024 Thread starter #5 DR HAYA LAND said: Kuna clip ya waitara watu wanamtukana na kumuita M b w a inasikitisha Sana kiukweli. Click to expand... Alitimuliwa jukwaani kwa mijeledi last week
DR HAYA LAND said: Kuna clip ya waitara watu wanamtukana na kumuita M b w a inasikitisha Sana kiukweli. Click to expand... Alitimuliwa jukwaani kwa mijeledi last week
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Jul 5, 2024 #6 Hakuna mtu mwenye akili timamu anaitaka CCM
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jul 5, 2024 #7 Ahsante kwa taarifa... Cc: Mahondaw
Kinoamiguu JF-Expert Member Joined Nov 29, 2018 Posts 11,936 Reaction score 15,196 Jul 5, 2024 #8 Waitara apew THANK YOU
S Salary Slip Platinum Member Joined Apr 3, 2012 Posts 49,390 Reaction score 152,301 Jul 5, 2024 #9 DR HAYA LAND said: Kuna clip ya waitara watu wanamtukana na kumuita M b w a inasikitisha Sana kiukweli. Click to expand... Na Msigwa nae ni wa kuzomea tu
DR HAYA LAND said: Kuna clip ya waitara watu wanamtukana na kumuita M b w a inasikitisha Sana kiukweli. Click to expand... Na Msigwa nae ni wa kuzomea tu
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Jul 5, 2024 Thread starter #10 Benjamini Netanyahu said: Hakuna mtu mwenye akili timamu anaitaka CCM Click to expand... Hakika!
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Jul 6, 2024 Thread starter #11 Kinoamiguu said: Waitara apew THANK YOU Click to expand... Alitandikwa bakora jukwaani