PreGE2025 John Heche akamatwa na Polisi Kariakoo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Vitendo vya kamata kamata ya viongozi wa chadema inayofanywa na jeshi la polisi, vinawapa nguvu sana wananchi ya kuamini kwamba wanachosema viongozi hao ni kweli na kuna haja ya kufanya mabadiliko ya kimfumo na kisheria ili kuwepo na uwanja sawa wa kisiasa wa watu kuchagua na kuchaguliwa bila upendeleo.
 
Hii sio nzuri sana, especially tunapoelekea kwenye uchaguzi. Mama anashauriwa vibaya sana - perhaps kwa makusudi kabisa. Anaweza kuwa Rais wa kwanza very unpopular kama ataendelea hivi
 
Fisadi yupi alimuadhabisha. Maana yeye mwenyewe alikua fisadi. Au hujui kwake wakati amedanja zilikutwa dolla 40m. You talk nonsense nigga. Eti fisadi akamate mafisadi πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Lakini alisema hata yeye Yuko tayari kukamatwa.
 
Inabidi tufe sisi kwanza , kizazi kinachoogopa kufa kwa kupambania haki, ila hakiogopi kufa kwa kutokuvaa kondom.
Sisi historia yetu watakapo kuja kusoma vizazi vyetu vitashangaa sana na kujiuliza hawa walikuwa binadamu wa aina gani ?Maiti zinazo tembea (sorry)
 
Hawapiganii hoja hizo wao wako kwenye No reform no Election usichanganye mada wala kuwawekea maneno mdomoni ambayo hawajaingea
Tume huru ya uchaguzi ndo itatupa viongozi tunaowachagua sio wanaoiba uchaguzi Kwa tume isiokuwa huru

Ambao hao hawajali
Shule hazina madawati
Hospital hazina madawa
Hakuna maji
Hakuna barabara
Mwasai Ngorongoro hawana makazi
Bandari imeuzwa
ATCL imekufa
Ziwa victoria meli mbovu
Mishahara duni ya watumishi
Hakuna ajira Kwa vijana
Hakuna soko la mazao
Tozo nyingi
Deni la Taifa ni trillion 97.35
 
Fisadi yupi alimuadhabisha. Maana yeye mwenyewe alikua fisadi. Au hujui kwake wakati amedanja zilikutwa dolla 40m. You talk nonsense nigga. Eti fisadi akamate mafisadi πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Tumia akili duniani kote kuna ufisadi lakini nchi zao zinaendelea unajua kwa nini ? Kunatofauti ya FISADI MZALENDO NA FISADI ASIYE MZALENDO
 
Tumia akili duniani kote kuna ufisadi lakini nchi zao zinaendelea unajua kwa nini ? Kunatofauti ya FISADI MZALENDO NA FISADI ASIYE MZALENDO
Anauzalendo upi..? Acha upumbavu. Mzalendo kwa kipi alichofanya πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†. Mshamba wa madaraka yule. Yaani lile lishamba eti lizalendo unajua maana ya uzalendo..?
 
Hayo hawaongei wewe ndio wasema.wao wamejikita tu no reform no election na tonetone
Japo ushahidi huna waropoka tu bila takwimu au ushahidi hakikika
 
JPM alisingiziwa mabaya mengi.

Anyway, Kuna watu watasema ni vibaraka wa JPM πŸ˜‚ wakati huu ni mwaka wa nne jamaa yupo kaburini
 
Tumia akili duniani kote kuna ufisadi lakini nchi zao zinaendelea unajua kwa nini ? Kunatofauti ya FISADI MZALENDO NA FISADI ASIYE MZALENDO
Eti umekubali kuwa ni fisadi alafu unasema mzalendo. Ww jamaa ni punguani. Fisadi awe mzalendoπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† nabishana na lifala f@[< You
 
Hayo hawaongei wewe ndio wasema.wao wamejikita tu no reform no election na tonetone
Japo ushahidi huna waropoka tu bila takwimu au ushahidi hakikika
Kwanini nyie mafisi hamtaki tume huru ya uchaguzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…