PreGE2025 John Heche akamatwa na Polisi Kariakoo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Heche alipe fidia ya hasara iliyopatikana, maduka yamefungwa kwa hofu biashara zimedorora ona barabara imekuwa nyeupe hamna wateja, TRA fanyeni tathmininya hasara mumdai heche na genge lake
 
Mzee wa mikeka anatafuta Kiki tu. Wafuasi wa Munguki kukamatwa wanaona Kiki. Utaendaje kufanya mikutano karikoo muda ambao biashara ndio zimechanganya?
Huko kariakoo yupo mamako? Hakuna walipa kodi wanaoumizwa na mifumo ya unyonyaji?

Mgomo wa hapo kariakoo kwanini mkuu wa mkoa mpaka waziri mkuu walienda? Au hao wana exceptions?

Siasa ndio maisha ya wananchi. Msitupangie chakufanya.
 
Hutupotezi mitazamo nia na malengo yapo imara,kawaida azamaye majini hakubali yaishe ila anapambana ili ajiokoe ama apate msaada.Ujumbe huu ukufikie ndugu Lwiva na washirika mfananao.
 
Umeandika ujinga mwingi,Magufuli yeye alishasema hataki kusikia habari ya Katiba na wala haikuwa kipaumbele chake. Lissu aliungana na CCM wapi kumpiga vita Magufuli? Magufuli ndiye alimchukia Lissu hadi akaamuru auwawe kwa kupigwa risasi. Utakuwa unatumia kinyeo chako kufikiri wewe.
 
Ni lazima yatokee ili ukombozi upatikane
 
Yaani nchi kama nchi hatuna serikali, kwa maamuzi yanayofanyika hatuna watu smart huko juu nii ipo wazi wazi.
 
Kwan pale ni wapi mkuu ? Kumbe loss ni kuweka foleni ? Ile Barabara gani? Tatizo lenu mnadhani kariakoo kila sehemu kuna foleni....ngoja tuone watasema kafanya nini ili nije nkuulize vinahusiana nini na fulani, viongozi we hii nchi ni wapumbavu sana
Kariakoo barabara ipi isiyo na foleni nitajie moja nimezaliwa na kukulia kariakoo
Familia yangu iko kariakoo

Nitajie barabara ipi?.mshamba toka Mara kwa Heche wewe
Kachunge ng'ombe kwenu huko
 
Hutupotezi mitazamo nia na malengo yapo imara,kawaida azamaye majini hakubali yaishe ila anapambana ili ajiokoe ama apate msaada.Ujumbe huu ukufikie ndugu Lwiva na washirika mfananao.
Maadui wa chadema na watanzania leo ndiyo walio kuwa maadui wa JPM
 
Sisiemu kwisha habari yao
 
Bongo daslaaam
 
Banana Republic
 
Tatizo ni akili zenu ndogo JPM Alikuwa vitani hivyo katiba hii iliyo mpa nguvu kubwa ilikuwa ni njema kwake kwa kumuwezesha kupambana na mafisadi wabaya sana na maadui wakubwa wa taifa....tumia akili
 
Behind the scene are male "dictators" not her
Acha kutetea upimbimbi. Huyo ni dictator, hata siku moja haijawahi jitokeza hadharani kukemea haya. Wacha wampoteze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…