Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
😡Mtanganyika gani aliwaandikia barua CHADEMA kuwa iwapiganie? Weka nakala
Wao wanapugania tonetone tu ndio masna wanapuuzwa na watanganyika hata wakikamatwa fresh tu
Watanganyika wanaendelea na shughuli zao kama hakujatokea chochote
Maadui wa taifa hiki wezi wakura,wezi wa rasilimali,chawa kwa nalipo hafifu ya rushwa za kofia,mlo wa kwenye vikao na mikutano,na ile ya mikopo nyonyaji au ahadi yake.Watumiwao kutisha kunyanyasa,kuteka na kitengeneza kesi mchongo,hao ndio maadui wa Watanzania na chanzo cha umaskini kwa Watanzania.Mengine yote porojo za chawa na wezi wenyewe ili kuwa hadaa Watanzania.Maadui wa chadema na watanzania leo ndiyo walio kuwa maadui wa JPM
Mkuu chadema ilimzuia?Tatizo ni akili zenu ndogo JPM Alikuwa vitani hivyo katiba hii iliyo mpa nguvu kubwa ilikuwa ni njema kwake kwa kumuwezesha kupambana na mafisadi wabaya sana na maadui wakubwa wa taifa....tumia akili
Atawapiga tisa muda utaongeaMpaka sasa Heche 3- ccm-0
Ndiyo .. chadema walijigeuza ccm kutetea mafisadi na kulifitinisha taifa na kumchafua jpm na kufanya hujuma mbalimbali kitaifa na kimataifa.Mkuu chadema ilimzuia?
Kwa hilo utawachuuza chawa wabobezi wa upande wenu tuu na sii vinginevyoTatizo ni akili zenu ndogo JPM Alikuwa vitani hivyo katiba hii iliyo mpa nguvu kubwa ilikuwa ni njema kwake kwa kumuwezesha kupambana na mafisadi wabaya sana na maadui wakubwa wa taifa....tumia akili
Ndiyo maana watu kama nyinyi mkipata urais mnabadilika na kuwa waovu maana mnashindwaga kutambua mambo yanayo mkuta kiongozi pale anapokuwa rais .....Kwa hilo utawachuuza chawa wabobezi wa upande wenu tuu na sii vinginevyo
Huwa nini kinawakuta kama sii uchawa wanaojikomba kwa manufaa yao ya tuvikundi vyao,ama taamaa yabkushibisha matumbo yao na jamii zao.Nini kinashindikana kutambuua huu upuzi na kuachana nao kwa maslahi ya taifa na Watu wake walio wengi na sii vijikundi vya kutazama maslahi yake yalipo pekee?Ndiyo maana watu kama nyinyi mkipata urais mnabadilika na kuwa waovu maana mnashindwaga kutambua mambo yanayo mkuta kiongozi pale anapokuwa rais .....
Ila CCM sawaKariakoo ni sehemu ya Biashara au mikutano ya siasa?
Dawa sii kuwafunga ila ni kuelewa kwanini no reform no election basi.No reforms no election
Jiwe alikuwa laana kwa Taifa. Bila Mungu sijui tungekuwa wapiNdiyo .. chadema walijigeuza ccm kutetea mafisadi na kulifitinisha taifa na kumchafua jpm na kufanya hujuma mbalimbali kitaifa na kimataifa.
Na JPM alijigeuza chadema kutetea wananchi na nchi kizalendo hivyo ccm madhalimu kuwa upande wa chadema dhidi ya magufuli .
Msajili siyo Mungu,siku Mungu akitenda sijui utasema nini.Msajili ni wakati sasa kukifutia usajili chadema na kusukuma ndani viongozi wake kwa uhaini.