Japhet gombe
JF-Expert Member
- May 9, 2016
- 834
- 907
Serikali ndiyo wanayoyataka wakizani ndiyo wataonga kirahisi kwakuwa kuna vyama 18 marafiki zao wanawatii.Ni ukweli usiyo pingika uchaguzi hauwezi kufanyika ktk mazingira haya hata kidogo uchaguzi ni maridhiano kati ya watawala na watawaliwa kukiw,,a hakuna maridhiano huo unakuwa utawala wa kimabavu.Na utawala wakimabavu kwa sasa haukubaliki duniani kwahiyo Tanzania tunaweza kuwa kisiwa na hakuna hata mmoja atatuunga mkono kwasababu hata uganda pamoja na mabavu yote anayotumia Mseven lakini tume yao ya uchaguzi ipo vizuriTaarifa rasmi kutoka CHADEMA imesema kwamba Jeshi la Polisi limemkamata Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, katika eneo la Kariakoo na kumpeleka kituo cha Polisi Msimbazi.
Hata hivyo, baadaye aliondolewa kituoni hapo na kupelekwa kusikojulikana.
Viongozi kadhaa waliokwenda kituo cha Polisi Kati kufuatilia suala hilo wameelezwa kuwa Heche hajawahi kufikishwa hapo.
View attachment 3312400
View attachment 3312401
Hiyo dhana ndiyo iliyo fanya chadema kupoteza nguvu ya umma....wengi mnao sema hivyo sasa hivi ni vibaraka wa samia lengo ni kuifanya chadema isifufuke kwenye nguvu ya umma...hivyo nadhani wewe ni mtu wa ccm upande wa samia unajifanya kama chademaJiwe alikuwa laana kwa Taifa. Bila Mungu sijui tungekuwa wapi
Naunga mkonoMsajili ni wakati sasa kukifutia usajili chadema na kusukuma ndani viongozi wake kwa uhaini.
Huenda na bahari ikaelea chakula cha Papa na nyangumiKuna kila dalili gerezani kukajaa, wafuasi wa CDM,kuelekea October 2025
Tuliwaambia kuwa ni mapema sana kuanza kumshangilia huyo mama!Nimeukumbuka huu uzi:
New administration under Samia Suluhu gives hope after 5 years of hopelessness
The speech of Madam president today has given new hope of abiding to the rule of law and good governance which activists were clamouring for years. We are beginning to see commitment to the rule of law and good governance after the rights of whistle blower will be restored. No more incitement...www.jamiiforums.com
Kiko wapi sasa!
Nani amekudanganya? Wapo maofisa wazee ambao hawana degree!Hakuna Askari polisi mwenye nyota asiye na digrii kwa taarifa yako na ndio huwa viongozi wa askari popote
Si mlisema anaupiga mwingi kmmmke kiko wapi? 😁Tena wa hovyo sana
😂******* ndio jina linaowastahili mbulula wote waliokuwa wanamdiss JPM.Ooh yeye na Magu ni tofauti, yeye anatembea na 4R wakati mtangulizi wake alikuwa dikteta, muonevu, muuaji na katili.
Kiko wapi leo, amekuwa katili na muonevu kuliko hao waliomtangulia.
Wa zamani wengi wanakaribia kustaafuNani amekudanganya? Wapo maofisa wazee ambao hawana degree!
Wapi nimewahi kusema mimi ni CDM au CCM. Punguza mahaba yasiyo na ulazima. Mimi nimesema kwamba Jiwe alikuwa laana kwa Taifa. Kusema hivyo sina maana mimi ni mfuasi wa Cdm au Ccm. Huo ni ukweli na bila Mungu mpaka sasa tungekuwa tumekwisha wote.Hiyo dhana ndiyo iliyo fanya chadema kupoteza nguvu ya umma....wengi mnao sema hivyo sasa hivi ni vibaraka wa samia lengo ni kuifanya chadema isifufuke kwenye nguvu ya umma...hivyo nadhani wewe ni mtu wa ccm upande wa samia unajifanya kama chadema
Sio kwamba tupo tu, bali tunamsaidia kuliuza na kuizamisha nchi Kwa kupiga vigelegele vya mitano Tena!Huu Moto unaopaliliwa hautamuacha Samia salama
Sijajuwa Samia ana mpango gani na Tanzania au ni agent wa warabu sisi tupo tu tunashangaa shangaa ndio anatuuza na kuiua Tanzania?
Vichwa mbovu wote wana maneno yasiyo na staha,hapa pia tutaanza kuunga dots kuwa haya yanayotokea ni ushindani na mifarakani ndani ya ccm,na utawala wake.Ila Watanzania wapo macho dhidi ya upuuzi wowote,bila kujali upuuzi huuo unafanywa kwa malengo yapi?Hapa upo uwezekano wa kuwa Sukuma gang imefufuka ama imejifufua kupitia haya ambayo taifa linapitia hivi leo.😂******* ndio jina linaowastahili mbulula wote waliokuwa wanamdiss JPM.
Are you walking away from your original statement?Wa zamani wengi wanakaribia kustaafu
Sasa hivi kijana bila degere uofisa hamna
Nimetumia akili ya mlango wa 9 kukutambua kuwa ni MPUMBAVU WA CCMWapi nimewahi kusema mimi ni CDM au CCM. Punguza mahaba yasiyo na ulazima. Mimi nimesema kwamba Jiwe alikuwa laana kwa Taifa. Kusema hivyo sina maana mimi ni mfuasi wa Cdm au Ccm. Huo ni ukweli na bila Mungu mpaka sasa tungekuwa tumekwisha wote.
Ulitaka nikomae ? Wakati umetoa kitu chenye ushahidi? Kuwa wako maofisa wasio na digrii? Kunikumbusha?Are you walking away from your original statement?
Na wanyonge ndiyo jina linalowafaa waru type yake au siyo Mnyonge wa Jpm?😂******* ndio jina linaowastahili mbulula wote waliokuwa wanamdiss JPM.
Haitawasaidia chochote Nchi imeshaiva hii inataka HAKI HAKI HAKI.Hata hivyo, baadaye aliondolewa kituoni hapo na kupelekwa kusikojulikana.