Mikutano yenu Dar imedoda sasa kweli unaenda kufanya mkutano Kariakoo!!? Kwenye msongamano mkubwa hivyo!!Taarifa rasmi kutoka CHADEMA imesema kwamba Jeshi la Polisi limemkamata Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, katika eneo la Kariakoo na kumpeleka kituo cha Polisi Msimbazi.
Hata hivyo, baadaye aliondolewa kituoni hapo na kupelekwa kusikojulikana.
Viongozi kadhaa waliokwenda kituo cha Polisi Kati kufuatilia suala hilo wameelezwa kuwa Heche hajawahi kufikishwa hapo.
View attachment 3312400
View attachment 3312401
Mko mitandaoni tu. Nyumbu bwana shida sana.Haitawasaidia chochote Nchi imeshaiva hii inataka HAKI HAKI HAKI.
Hapana, lakini ulibadili uelekeo bila kusema unabadili uelekeo!Ulitaka nikomae ? Wakati umetoa kitu chenye ushahidi? Kuwa wako maofisa wasio na digrii? Kunikumbusha?
VAfrica ni ngumu Sana
Vizee kama wewe tuwakamate wa nini? Tutawachapa vibokp tuMkiwamaliza wote mje na uraiani mtukamate wote.
Mkiwamaliza wote mje na uraiani mtukamate wote.
Dar CHADEMA mwisho ilikuwa kipindi cha Lowassa kaenda CHADEMAMikutano yenu Dar imedoda sasa kweli unaenda kufanya mkutano Kariakoo!!? Kwenye msongamano mkubwa hivyo!!
Sasa Bibi mbona hukumsaidia asikamatwe??
Sawa wewe tukana au tumia mlango wa laki 1 lakini haiondoi ukweli wa maovu ya Jiwe au kunifanya mimi kuwa hao kijani. Huwezi kutenganisha Usukuma gang na wale mnaojiita wanyongeNimetumia akili ya mlango wa 9 kukutambua kuwa ni MPUMBAVU WA CCM
Eti ukafanye mkutano wa kisiasa Kariakoo kweli!!!? Akili za nyumbu ni shida sana!Dar CHADEMA mwisho ilikuwa kipindi cha Lowassa kaenda CHADEMA
Baada ya Lowasa kurudi CCM
CHADEMA haina Chake Dar es Salaam
e ataingia kwenye 18zao tuBado mnyika. Labda akajifiche kanisani kwamba anasoma novena.
Kariakoo ni Central business district watu pale wako busy na biashsra wana kufanya hawategemei tone tone kuishi.
Wahubiri hawasababishi foleni,wala misongamano wa watu na magari wa biashara,wafanyabiashara na wateja
Hapo aliposimama kasababisha usumbufu kwa wafanyabiashara na wateja na wenye magari
Mimi sijawahi kuwa mnyonge. Ni raia mwenye akili timamu tu nayemiliki NIDA na PASSPORT ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Na wanyonge ndiyo jina linalowafaa waru type yake au siyo Mnyonge wa Jpm?
SUKUMA Gang ni kichaka cha kujifichia wapumbavu wote ambao walikataa elimu ya vitendo ya namna ambavyo raia namba moja anatakiwa abehave mbele ya wananchi wake na kuwajibika kwao katika kutekeleza majukumu yake.Vichwa mbovu wote wana maneno yasiyo na staha,hapa pia tutaanza kuunga dots kuwa haya yanayotokea ni ushindani na mifarakani ndani ya ccm,na utawala wake.Ila Watanzania wapo macho dhidi ya upuuzi wowote,bila kujali upuuzi huuo unafanywa kwa malengo yapi?Hapa upo uwezekano wa kuwa Sukuma gang imefufuka ama imejifufua kupitia haya ambayo taifa linapitia hivi leo.
Akina nani hao sasa?SUKUMA Gang ni kichaka cha kujifichia wapumbavu wote ambao walikataa elimu ya vitendo ya namna ambavyo raia namba moja anatakiwa abehave mbele ya wananchi wake na kuwajibika kwao katika kutekeleza majukumu yake.
Kwa macho ya nyama tu kupitia comparison and contrasting huna tofauti na nyani ambaye anaamini ndizi ni tamu kuliko sega la asali. Pole sana kijana wa hovyo.Wapi nimewahi kusema mimi ni CDM au CCM. Punguza mahaba yasiyo na ulazima. Mimi nimesema kwamba Jiwe alikuwa laana kwa Taifa. Kusema hivyo sina maana mimi ni mfuasi wa Cdm au Ccm. Huo ni ukweli na bila Mungu mpaka sasa tungekuwa tumekwisha wote.
Braza K na Mzee wa mikeka ndio wanasuluhu ya unyonyaji?? Kweli nyie manyumbu. Wameanza kunyonya watu kupitia join the chain mpaka tonetone. Braza K alichamgiwa gari mpya iko wapi?Huko kariakoo yupo mamako? Hakuna walipa kodi wanaoumizwa na mifumo ya unyonyaji?
Mgomo wa hapo kariakoo kwanini mkuu wa mkoa mpaka waziri mkuu walienda? Au hao wana exceptions?
Siasa ndio maisha ya wananchi. Msitupangie chakufanya.
walisema murilo asiwatishe mbona wamekamatwa ******* hamna hata bomu la machozi lililopigwa hamna hata risasi moja iliyopigwa hewani, washenzi hawa, hivi mkurya gani unakamatwa ka winga hakuna cha kurupushani, huyu jamaa akirudi musoma tunamtairi upyaMikutano yenu Dar imedoda sasa kweli unaenda kufanya mkutano Kariakoo!!? Kwenye msongamano mkubwa hivyo!!
Sasa Bibi mbona hukumsaidia asikamatwe??
WAPUMBAVU. Tafsiri halisi ya mtu wa aina hii ni ambaye hawezi kutumia utashi wake kuepuka madhara na anategemea kujifunza kupitia makosa.Akina nani hao sasa?
Vijana wa hovyo nchi wote ni CCMwalisema murilo asiwatishe mbona wamekamatwa ******* hamna hata bomu la machozi lililopigwa hamna hata risasi moja iliyopigwa hewani, washenzi hawa, hivi mkurya gani unakamatwa ka winga hakuna cha kurupushani
Cheti feki, kenge wewe!Wapi nimewahi kusema mimi ni CDM au CCM. Punguza mahaba yasiyo na ulazima. Mimi nimesema kwamba Jiwe alikuwa laana kwa Taifa. Kusema hivyo sina maana mimi ni mfuasi wa Cdm au Ccm. Huo ni ukweli na bila Mungu mpaka sasa tungekuwa tumekwisha wote.
Afadhali kama wamelikamata na hili lipumbavu!!Taarifa rasmi kutoka CHADEMA imesema kwamba Jeshi la Polisi limemkamata Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, katika eneo la Kariakoo na kumpeleka kituo cha Polisi Msimbazi.
Hata hivyo, baadaye aliondolewa kituoni hapo na kupelekwa kusikojulikana.
Viongozi kadhaa waliokwenda kituo cha Polisi Kati kufuatilia suala hilo wameelezwa kuwa Heche hajawahi kufikishwa hapo.
View attachment 3312400
View attachment 3312401
Tutakinukisha kwa njia za AMANI zikiwemo Spana.Mko mitandaoni tu. Nyumbu bwana shida sana.