Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 14,694
- 7,912
Wacha wakamatwe.tuishi kwa amaniWaende taratibu hivyo hivyo uzuri wao wenyewe hujiingiza 18 za polisi
Polisi hata hawahitaji kuwatungia mashtaka
Hao waliobaki pia watajiingiza wenyewe kwenye 18 za polisi
Utachekwa ww, hakuna wajinga zaidi ya miaka 30.Una mawazo ya kipumbavu sana! Watanzania wote wa wapi wakati CCM na vyama vingine 17, G55 na akina sisi tusiokuwa na chama tunaona reforms mnazozitaka ni ujinga fulani tu hivi?! Msimamo wa kikundi fulani cha wahuni wachache ndio unaita watanzania wote?!
Ndani ya chadema peke yake kuna watu wengi wasiokubali reforms za Lisu wakiongozwa na G 55 na wabunge 19 wa viti maalumu waliomo bungeni!.
Ni kweli kabisaMimi naona kama wamechelewa kumtia kibindoni, wangefanya hata juzi.
Kkoo una biashara gani?polisi vipi mnamchelewesha mleta fujo kama huyo sokoni?
mnajadiliana nae nini?
OCD msimbazi ukajitathmnini,
hatuwezi kuvuruga shughuli za biashara kariakoo kwa kusumbuana kujibizana na vibaka wa wavuruga biashara wa aina hiyo, mkamatene mkamweke korokoroni mara moja
Ni kweli, maana wakiachwa mtaani wanazidi kuamsha watu waliolala.Wacha wakamatwe.tuishi kwa amani
Kweli kabisaUna mawazo ya kipumbavu sana! Watanzania wote wa wapi wakati CCM na vyama vingine 17, G55 na akina sisi tusiokuwa na chama tunaona reforms mnazozitaka ni ujinga fulani tu hivi?! Msimamo wa kikundi fulani cha wahuni wachache ndio unaita watanzania wote?!
Ndani ya chadema peke yake kuna watu wengi wasiokubali reforms za Lisu wakiongozwa na G 55 na wabunge 19 wa viti maalumu waliomo bungeni!.
Mashoga pia walikuwa hawampendi Magu kama wa vyeti feki mkuu. Mimi namshukuru Mungu pesa za kutumia ninazo zinanitosha.Ona sasa, umekimbilia kwenye ujinga tena. Wewe ni shoga kwani? Huna unalowaza zaidi ya ushoga. Waza kukuza kupato chako ili uache mambo ya kujiita mnyonge
Mimi nitaruka na Lucas Mwashambwasiku upinzani ukishika dola ni kuwakamata wote waliotutesa ni...KUWAPHIRA TU
Lucas Mwashambwa
Crocodiletooth ODILE
@CHIEMBA
Tlaatlaah
kipara kipya
PHIRA TU MANAE
HUyu inasemekana sio mandelaKunyea Debe mbona ni kawaida
View attachment 3312561
Huu ndio ukweli.ukweli unaumaLissu ndio dikteta uchwara, kila anayemuhoji anafukuzwa kwenye chama chenu sio!!? Mama hawezi kuitwa dikteta kwa kulinda amani ya nchi dhidi ya wapumbavu wachache kama nyie.
We ndo mpumbavu hamna kampaini kwa miaka ya karibuni imepata umarufu kama no reform no election hiyo kampaini isipo angusha ccm mabadiliko yatabadilika lazimaUna mawazo ya kipumbavu sana! Watanzania wote wa wapi wakati CCM na vyama vingine 17, G55 na akina sisi tusiokuwa na chama tunaona reforms mnazozitaka ni ujinga fulani tu hivi?! Msimamo wa kikundi fulani cha wahuni wachache ndio unaita watanzania wote?!
Ndani ya chadema peke yake kuna watu wengi wasiokubali reforms za Lisu wakiongozwa na G 55 na wabunge 19 wa viti maalumu waliomo bungeni!.
Mbona sasa wananchi wanakodoa tu macho badala ya kupambana na Polisi kumtetea Heche.?Ila mwishwo wake yataskua majadiliano hili suala la "no reform no election" limepokelewa almost na watanzania wote wakiwemo baadhi ya ccm haliepukiki
Sisi tunadai HAKI ya kuchagua Viongozi tuwatakao sio lazima wawe CHADEMA.Sijadhulumiwa chochote, kama sina ni uvivu wangu wa kutojituma kwenye biashara zangu na kilimo, baasi! Sina aliyenidhulumu chochote boya we!!
Zuieni wasiamatwe, sasa mnashindwa kuzuia mtu mmoja kukamatwa mtazuiaje uchaguzi usifanyike nchi nzima?Taarifa rasmi kutoka CHADEMA imesema kwamba Jeshi la Polisi limemkamata Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, katika eneo la Kariakoo na kumpeleka kituo cha Polisi Msimbazi.
Hata hivyo, baadaye aliondolewa kituoni hapo na kupelekwa kusikojulikana.
Viongozi kadhaa waliokwenda kituo cha Polisi Kati kufuatilia suala hilo wameelezwa kuwa Heche hajawahi kufikishwa hapo.
View attachment 3312400
View attachment 3312401
Kweli kabisaHakuna habari ya maagizo kutoka juu!
Kazi ya polisi ni kukamata kila anayeonekana kuwa hatari kwa usalama wa raia na mali zao au usalama wa nchi kwa ujumla.
Wanaoona mtu anafanya uhalifu au anahamasisha watu wafanye uhalifu watamkamata tu wala hawangoji maagizo kutoka juu!.
Naunga mkono hoja yakoZuieni wasiamatwe, sasa mnashindwa kuzuia mtu mmoja kukamatwa mtazuiaje uchaguzi usifanyike nchi nzima?
CCM itaendelea kuongoza Taifa letu mpaka mwisho wa DuniaMimi nitaruka na Lucas Mwashambwa