polisi vipi mnamchelewesha mleta fujo kama huyo sokoni?
Punda bila mjeledi haendiHuyu Mama sasa kawa Dikteta kamili.
Wanachochea kuni kiongozi anakamatwa wafuasi wanatazaama kama sinema? Hivi hiyo No reform No Election itatekelezeka vipi?Ndo kwanza wanazidi kuchochea kuni
No Reform No ELECTION
Uvunjaji wa taratibu za nchi siyo jambo jema!, hata CCM wakitaka kufanya Mkutano hufuata taratibu za kuomba kubali, huyu ameyatafuta kwa nguvu zote.kwa akili zako angepwa hivyo vibali...? Na kama alienda wakamkatalia au wamemnyima. Tumia fikra mkuu
Tatizo hawana watu ndo mana wanalazimishia kuwafata mpaka kwenye biashara zao. Ukitaka kuamini hawana watu ona mtu anakamatwa wanaangalia tu na wengine wako busy na issues zaoUsumbufu tu kusababisha foleni na misongamano ya watu na magari
Ujinga mtupu CHADEMA acheni kuleta usumbufu kwa watu Kariokoo ona hata huyo mbeba mizigo anavyopata shida kupita
Wala haishangazi. Ni kwamba hakuna waTz wa kumbeba MwanasiasaDah inashangaza sana
wakati saa100 anafanya pale kariakoo ilikuwa sehemu ya siasa?Kariakoo ni sehemu ya Biashara au mikutano ya siasa?
Yaogope sana maji yaliyotulia. Kama wananchi wa kawaida wote hawapendi uonevu basi jua hata watu anaongozana nao hawapendi ila hawawezi kumwambia maana anapenda kuambia anachotaka kusikiaWanachochea kuni kiongozi anakamatwa wafuasi wanatazaama kama sinema? Hivi hiyo No reform No Election itatekelezeka vipi?
Angezuiwa lakini siyo kukamatwa!mikutano
Hakuna Askari polisi mwenye nyota asiye na digrii kwa taarifa yako na ndio huwa viongozi wa askari popotenatamani kuwe na sheria ,kila askari anatakiwa asome miaka mitano elimu ya juu ili nao waanze kujitambua wanachofanya
Hii ni dharau kubwa sana kwa watanganyika kumkamata kiongozi mbele ya wananchi wanao msikiliza
aaaahWala haishangazi. Ni kwamba hakuna waTz wa kumbeba Mwanasiasa
Ni dhahiri huna akiliUvunjaji wa taratibu za nchi siyo jambo jema!, hata CCM wakitaka kufanya Mkutano hufuata taratibu za kuomba kubali, huyu ameyatafuta kwa nguvu zote.
kosa lake anainyima ccm uhuru wakufanya uwizi wao serikaliniHaiwezekani akamatwe bila sababu, lazima kuna jambo, aidha kuna uchochezi aliokuwa akipandikiza hapo kariakoo kwani haiwezekani raia mwema kukamatwa bila sababu!