Pulchra Animo
Platinum Member
- Jun 16, 2016
- 8,620
- 15,134
Nadhani takwa la kisheria ni kutoa taarifa (notice) ya mkutano, sio kuomba kibali.Tunakemea sana hili mtu kujichukulia hatua za kufanya Mkutano pahala bila kuzingatia taratibu husika / au zinazotakiwa kufuata,
-Inshort amefanya tukio ili akamatwe!
#Shame!
Unadhani!?Nadhani takwa la kisheria ni kutoa taarifa (notice) ya mkutano, sio kuomba kibali.
ndo mlichokuwa mnakisubiri ili mpate sababu ya kuwakamata wote imekula kwenuKwahiyo raia wamekubali akamatwe kama kuku?
kumbe akili wanayo ila wanajizima WI-FIHakuna Askari polisi mwenye nyota asiye na digrii kwa taarifa yako na ndio huwa viongozi wa askari popote
Ameambiwa akawa anabisha huku gari yake inasababisha msongamano wa magari ulitaka askari wafanyaje?Angezuiwa lakini siyo kukamatwa!
Hao ni wahubiri au waganga njaa?Siasa ni sehemu ya maisha na bishara dude amka usingiZini hujawahi kuona waubili wa kilokole sokoni?
Watazania tuache kuugeuza upuuzi kuwa sehemu ya maisha yetu,umaskini wetu ni sababu ya upuuzi wetu. Na mambo yetu ya kipuuziHaiwezekani akamatwe bila sababu, lazima kuna jambo, aidha kuna uchochezi aliokuwa akipandikiza hapo kariakoo kwani haiwezekani raia mwema kukamatwa bila sababu!
Hii ni nzuri sana.
Haiwezekani akamatwe bila sababu, lazima kuna jambo, aidha kuna uchochezi aliokuwa akipandikiza hapo kariakoo kwani haiwezekani raia mwema kukamatwa bila sababu!
Tz ni nchi ya kike
Heche ndio kajizima kariakoo huwezi simamisha gari madereva wa gari nyuma yako watakuja juu waweza choma moto gari kuwachelewesha waendakokumbe akili wanayo ila wanajizima WI-FI
Hivi huyo ni RaisRais aliwaambiaga
"Ukinikuna mimi nakukuna huku nakupapasa tena nakupuliza ufu ufu, ukinipara nakuparura".
Wakati wanatoa kibali cha mikutano hawakujua kutakua na msongamano na kusababisha foleni?Anasababisha foleni na misongamano kuleta usumbufu kwa wenye magari, wafanyabiashara na wateja
CHADEMA tumieni akili pia sio tu kuwa manyumbu tu
Safi sana, shingo haipiti kichwaHii ndio Taarifa ya Sasa kutoka Kariakoo, Dar es Salaam
View attachment 3312332
Hakuwa na koso lolote, lakini Inaelezwa kwamba Maagizo kutoka Juu yameelekezwa akamatwe na apewe Kesi ya Ugaidi.
Akisindikizwa na Mitutu kuelekea Kituo cha Polisi Msimbazi
View attachment 3312352View attachment 3312359