Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Ccm akili hawanaChama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelalamikia kile ilichodai kuwa uwepo wa askari wanaovaa kiraia wanaojazana kwenye chumba cha Mahakama huku wananchi (makada wa CHADEMA) waliojitokeza kusikiliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wa chama hicho Taifa Tundu Lissu anayekabiliwa na kesi ya uhaini wakikosa nafasi ya kukaa
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara John Heche ameeleza hayo mapema leo, Jumanne Septemba 09.2025 alipokuwa Akizungumza na wanahabari kwenye viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam.
Yani hata akili moja tu hawana hao watuCcm akili hawana
Wajinga ni wale wawili waliokaliana wakazaa chocolate kama wewe pumbavu kabisa weweChadema ni wajinga wanashindwa kusajili watu mapema kwa majina na kujua watakaofika mahakamani ni wakina nani ilo zoezi walitakiwa kulifanga Jana tenologia ilivyo sasa hivi walitakiwa wasajili wanachama wao Jana ambao watafika mahakamani leo
Jamani ata maaskari nao pia ni watu kama sisi ,imagine lecture ya sheria anayoitoa TAL ndani ya mahakama kama one man army adi mapoti nao wanagombania foleni ya kumuwai teacher wa sheria na teacher wa roho ngumu roho chuma cha pua, almaarufu mzee wa kuwavuruga akili govt na wanasheria wake,ndio yeye TAL waacheni waende kwake wakapate somo la kutubu upuuzi wanaomfanyia msiwafukuze wala kuwatoa nje mapot waacheni wapate nafasi ya kumskiliza ili watokwe machoz ya hatia zao.Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelalamikia kile ilichodai kuwa uwepo wa askari wanaovaa kiraia wanaojazana kwenye chumba cha Mahakama huku wananchi (makada wa CHADEMA) waliojitokeza kusikiliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wa chama hicho Taifa Tundu Lissu anayekabiliwa na kesi ya uhaini wakikosa nafasi ya kukaa
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara John Heche ameeleza hayo mapema leo, Jumanne Septemba 09.2025 alipokuwa Akizungumza na wanahabari kwenye viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam.
Wewe umejikita upande huo, na kusahau/kujifanya kusahau upande wa pili.Jamani ata maaskari nao pia ni watu kama sisi ,imagine lecture ya sheria anayoitoa TAL ndani ya mahakama kama one man army adi mapoti nao wanagombania foleni ya kumuwai teacher wa sheria na teacher wa roho ngumu roho chuma cha pua, almaarufu mzee wa kuwavuruga akili govt na wanasheria wake,ndio yeye TAL waacheni waende kwake wakapate somo la kutubu upuuzi wanaomfanyia msiwafukuze wala kuwatoa nje mapot waacheni wapate nafasi ya kumskiliza ili watokwe machoz ya hatia zao.
Daaaah,poleee ndugu yangu fanya akili iwe tulivu urejee vizuri andko langu,punguza mapapara tutaonekana ss wa mrengwa wa kihafedhina hatujijui n kp tunairaji ikiwa tunawakiana ss kwa ss ,Wewe umejikita upande huo, na kusahau/kujifanya kusahau upande wa pili.
Sasa tukuelewe wewe kuwa nia yako ni nini,... Unayo maslahi na hiyo kesi, hadi ujitume kupotosha maana ya hao watu kujaza hizo nafasi chache?
Nawe ulikuwa miongoni mwa hao mapolisi?
Hivi mmerukwa na akili, hadi kuwa kama vichaa; kwa sababu tu ya kutumiwa kama vikaratasi vya chooni?
Sasa unataka nihangaike na CHIZI? Muda huo utatoka wapi!Daaaah,poleee ndugu yangu fanya akili iwe tulivu urejee vizuri andko langu,punguza mapapara tutaonekana ss wa mrengwa wa kihafedhina hatujijui n kp tunairaji ikiwa tunawakiana ss kwa ss ,
Note:nmetumia lugha sanifu na kejeli ktk andiko langu dhidi ya wazamiaji na wapenywezaji.
NB: Tuliza akili ktk kila andiko la mdau then ndio ujibu.
Harakati za matusi mm simo,ila jitahd sana usiwe una reply maandiko ya wadau uliowatambua kuwa wanao uchizi ili ikupunguzie umunkari uchwara ktk fahamu zako.Sasa unataka nihangaike na CHIZI? Muda huo utatoka wapi!
Nilisha kutana na wengi zaidi wa aina hiyo, na karibu wote walikuwa na msimamo kama huo ulio ueleza hapo. Nina hakika wewe hutakuwa wa mwisho.Nsamehee ndg.
Harakati za matusi mm simo,ila jitahd sana usiwe una reply maandiko ya wadau uliowatambua kuwa wanao uchizi ili ikupunguzie umunkari uchwara ktk fahamu zako.