Maswa Yetu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2023
- 1,398
- 2,619
Difference hapa ni kwamba magufuli hakuwa 100% right , especialy the way alikwua ana deal na political opponents wake.Ukimsikiliza makamu mwenyekiti wa Chadema John Heche kwenye hotuba zake kuhusu wizi wa rasilimali za taifa utashindwa kuelewa kwa nini alimpinga Hayati Magufuli.
John Heche amefafanua kuwa wizi wa rasilimali za nchi kwa sasa umefikia kiwango cha kutisha sana, mfano watanzania walitumia kodi zao zaidi ya trillion 1.2 kuichimba bandari ya Dares salaam kufikia uwezo wa meli yenye urefu wa mita 300 kutia nanga lakini uchimbaji ulipokamilika akapewa mwarabu bandari, yani mwarabu alichokifanya ni kuleta mashine tu na kuanza kunyonya hela maana bandari imeshachimbwa tayari!.
John Heche anazungumzia namna utoroshaji wa madini ulivyowakutisha sasa hivi, tangu Magufuli afariki hamna billionea wa madini aliyeibuka!. ,Heche anaeleza namna ambavyo serikali ya rasmi iko kimya kuhusu uanzishwaji wa viwanda wakati viwanda ndiyo injini ya uchumi wa taifa lolote
Ila Heche yuko right 100% siyo?Difference hapa ni kwamba magufuli hakuwa 100% right , especialy the way alikwua ana deal na political opponents wake.
Lakin kwenye mambo mengine wako sawa
Sijasema hivyoIla Heche yuko right 100% siyo?
Kwa hii nchi ilibidi kwenda hivyo.....maana kuna elements za mabepari pande zote 2 kwenye chama tawala na upinzaniDifference hapa ni kwamba magufuli hakuwa 100% right , especialy the way alikwua ana deal na political opponents wake.
Lakin kwenye mambo mengine wako sawa
Usipotoshe hapo. Watu wote tulianza kumlaumu JPM baada ya kuanza kukiuka human rights, hasa baada ya Lissu kupigwa Risasi 38 na kumuingia 19. Acha uongo wako huo.Ukimsikiliza makamu mwenyekiti wa Chadema John Heche kwenye hotuba zake kuhusu wizi wa rasilimali za taifa utashindwa kuelewa kwa nini alimpinga Hayati Magufuli.
John Heche amefafanua kuwa wizi wa rasilimali za nchi kwa sasa umefikia kiwango cha kutisha sana, mfano watanzania walitumia kodi zao zaidi ya trillion 1.2 kuichimba bandari ya Dares salaam kufikia uwezo wa meli yenye urefu wa mita 300 kutia nanga lakini uchimbaji ulipokamilika akapewa mwarabu bandari, yani mwarabu alichokifanya ni kuleta mashine tu na kuanza kunyonya hela maana bandari imeshachimbwa tayari!.
John Heche anazungumzia namna utoroshaji wa madini ulivyowakutisha sasa hivi, tangu Magufuli afariki hamna billionea wa madini aliyeibuka!. ,Heche anaeleza namna ambavyo serikali ya rasmi iko kimya kuhusu uanzishwaji wa viwanda wakati viwanda ndiyo injini ya uchumi wa taifa lolote
Lisu alikuwa anatetea Acacia inayoiba madini ya watanzaniaUsipotoshe hapo. Watu wote tulianza kumlaumu JPM baada ya kuanza kukiuka human rights, hasa baada ya Lissu kupigwa Risasi 38 na kumuingia 19. Acha uongo wako huo.
Political opponents waliokuwa wanapinga maendeleoDifference hapa ni kwamba magufuli hakuwa 100% right , especialy the way alikwua ana deal na political opponents wake.
Lakin kwenye mambo mengine wako sawa
Realy? Hawakuwa wakipinga maendeleo per say, but prioritiesPolitical opponents waliokuwa wanapinga maendeleo
Ni hovyo kabisaHuyu Mama hatoshi.
SureUsipotoshe hapo. Watu wote tulianza kumlaumu JPM baada ya kuanza kukiuka human rights, hasa baada ya Lissu kupigwa Risasi 38 na kumuingia 19. Acha uongo wako huo.
Nyamaza wewe UWTHeche ni Tapeli
Huyu mabosi zake siku wakimwitaji mtashangaa.
Nawambieni Heche na Mwita Waitara ni mule mule
Sultan akiitaka pwani yake?Siamini kama kuna mzanzibar anaweza kuwa na uchungu na mali za wabara
Huu Muungano ni wa hovyo kabisa.Siamini kama kuna mzanzibar anaweza kuwa na uchungu na mali za wabara
Ndiyo maana bibi yenu hana uchungu na mali zetuSultan akiitaka pwani yake?
Bagamoyo, Mzizima, Kilwa Tanga