PreGE2025 John Heche ameanza kuzungumza kama Hayati Magufuli

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Realy? Hawakuwa wakipinga maendeleo per say, but priorities
Didnt CAG akaja na report iliyoonyesha mianya? Mpaka wakamchomoa yule bwana kwa hila?
Wewe ungefanya nini na wapinzani wanaopinga ujenzi wa bwawa la umeme, SGR, serikali kuhamia UDOM, na uzuiaji wa wizi wa makinikia?
 
Nakazia huyu bumunda aache ungese aiseee. Magu alikua mtu wa ajabu sana yaani pale tulikua na raisi trasssh sana.
Na tumuulize magu alirudisha rasilimali zipi kama sio kukopa na kutuingizia hasara tu kama taifa
 
Hawa walitumika...

Bahati mbaya walio watumia wakati huo, ndio wanawapitisha motoni leo...

Wanajifunza in a hard way hasa...
Hakuna aliyetumika hapo bali ni upumbavu tu wa Magufuri kujifanya kuwa ana akili kuliko Watanzania wengine waliowahi kukemea wizi wa serikali kwa mali ya umma tangu 2007 kama akina Zito,Kabwe na Wilbroad Slaa.
 
Wewe ungefanya nini na wapinzani wanaopinga ujenzi wa bwawa la umeme, SGR, serikali kuhamia UDOM, na uzuiaji wa wizi wa makinikia?
hayo tu ndo umeyaona? Twambie sgr mpk sasa imeleta faida ipi, huo uzuiaji wa makinikia ambayo ni mapanki ya madini ni nani alzuia zaid chadema walimshauri khs kuwa makini na mikataba waliyoiingia hao hao ccm kna magufuri haya twambie alifanikiwa nn kwny hlo unazuia mapanki wkt minofu inaenda msengerema ww.
 
Bila shaka na hii sumu ya Magufuri ndiyo Mama Samiah anaitumia kuimarisha himaya yake.
 
Magufuli hakupingwa kwa kutetea rasilimali za nchi bali alipingwa kwa nia ovu ya kuua upinzani na udikteta, na nia ovu hiyo ilithibitishwa na kilichotokea kwenye chaguzi za 2019 na 2020.
 
Wewe ungefanya nini na wapinzani wanaopinga ujenzi wa bwawa la umeme, SGR, serikali kuhamia UDOM, na uzuiaji wa wizi wa makinikia?
 
Nakazia huyu bumunda aache ungese aiseee. Magu alikua mtu wa ajabu sana yaani pale tulikua na raisi trasssh sana.
Na tumuulize magu alirudisha rasilimali zipi kama sio kukopa na kutuingizia hasara tu kama taifa
Wewe ungefanya nini na wapinzani wanaopinga ujenzi wa bwawa la umeme, SGR, serikali kuhamia UDOM, na uzuiaji wa wizi wa makinikia
 
KUpinga kuna wezekana na sio kila jambo linalopingwa ukadhan wapinzan wapo sahihi nao sio malaika wa mbinguni. Na pia je walioliacha mwanzo kwann waliliacha coz mradi unaweza kutimia ila.ukawa kuporomoka kwa haraka je isha pita hata muongo mmoja hilo bwawa likawa lina tupa uhakika zaidi
 
Wewe ungefanya nini na wapinzani wanaopinga ujenzi wa bwawa la umeme, SGR, serikali kuhamia UDOM, na uzuiaji wa wizi wa makinikia?
Wewe ni mpumbavu unayetetea upumbavu.Kukamata kamata wapinzani na kuwaweka ndani kila siku hayo ni maendeleo?Magufuri hakuwa mvumilivu kwenye mambo ya siasa na ndiyo maana aliitumia vibaya siasa na mwisho siasa ikammaliza taratibu bila mtu wa kumtetea.
 
Magufuli hakupingwa kwa kutetea rasilimali za nchi bali alipingwa kwa nia ovu ya kuua upinzani na udikteta, na nia ovu hiyo ilithibitishwa na kilichotokea kwenye chaguzi za 2019 na 2020.
 
Chadema ndiyo wa kwanza kupanda sgr
 
Magufuli hakupingwa kwa kutetea rasilimali za nchi bali alipingwa kwa nia ovu ya kuua upinzani na udikteta, na nia ovu hiyo ilithibitishwa na kilichotokea kwenye chaguzi za 2019 na 2020.
Wewe ungefanya nini na wapinzani wanaopinga ujenzi wa bwawa la umeme, SGR, serikali kuhamia UDOM, na uzuiaji wa wizi wa makinikia
 
Lisu alikuwa anatetea Acacia inayoiba madini ya watanzania
ujue ustufanye wote humu hatuna akili clip za lisu zpo youtube akzungumzia hayo mambo wkt akiwa bungen hakuna mahali aliunga mkono acacia ila alikuwa anatoa onyo ksheria kutokana na mikataba waliyoingia haohao ccm akiwemo na magufuri, yan raslimali za taifa hli mgawe ccm halafu lisu atetee usengerema mlioufanya hivi inaingia akilin kweli. SWALI NI NANI ALIWAPA MIGODI ACACIA? wkt wanapewa magufuri aliunga mkono au hakuunga mkono?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…