saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 5,673
- 7,811
Mfuateni kuzimu huyo mshamba wenu aliyetuharibia nchi yetuUkimsikiliza makamu mwenyekiti wa Chadema John Heche kwenye hotuba zake kuhusu wizi wa rasilimali za taifa utashindwa kuelewa kwanini alimpinga Hayati Magufuli.
John Heche amefafanua kuwa wizi wa rasilimali za nchi kwa sasa umefikia kiwango cha kutisha sana, mfano watanzania walitumia kodi zao zaidi ya trillion 1.2 kuichimba bandari ya Dares salaam kufikia uwezo wa meli yenye urefu wa mita 300 kutia nanga lakini uchimbaji ulipokamilika akapewa mwarabu bandari, yani mwarabu alichokifanya ni kuleta mashine tu na kuanza kunyonya hela maana bandari imeshachimbwa tayari!.
John Heche anazungumzia namna utoroshaji wa madini ulivyowakutisha sasa hivi, tangu Magufuli afariki hamna billionea wa madini aliyeibuka!. Heche anaeleza namna ambavyo serikali ya Samia iko kimya kuhusu uanzishwaji wa viwanda wakati viwanda ndiyo injini ya uchumi wa taifa lolote
Wewe ni taahira!..kum.a ww kwanza jbu nlichouliza hapo. Pili twambie hayo maigzo aliokuwa anafanya magufuri tulipata nn unazuia mapanki halafu minofu inaenda halafu unakaa unapgia watu kelele. Tatu hujui kesi zpo uko na zngne twaendelea kulipa sjui ccm huwa mna akili gn aisee, yaleyale ya kikwete pesa za escrow ni za bnafs maccm yote yakashanglia akiwemo magufuri, mara magufuri huyo kawa rais kasema fedha za escrow ni za umma maccm yote uleee uleee kumam.a.eee zenu.
Kwahiyo sasa hivi mnairekebisha?Mfuateni kuzimu huyo mshamba wenu aliyetuharibia nchi yetu
Hao nyumbu ni wa kuwaamini? Hawajui ht wanasimamia nini wanatafuta kila mbinu kuiharibu nchi yetu kwa maslahi yao. Hawana lolote hao nyumbu, wanachoweza ni uzushi, upotoshaji, uropokaji, uwongo, kulalamika na kuwa vibarakaDifference hapa ni kwamba magufuli hakuwa 100% right , especialy the way alikwua ana deal na political opponents wake.
Lakin kwenye mambo mengine wako sawa
Kumbe huna akili kwaheri.Kwani sasa hivi mhaini Lisu anawaonaje walio na mawazo tofauti na yeye?
Heche alishauri kwamba kabla ya miradi hiyo mikubwa kwann tusianze na mgodi WA kuzalisha vyumba ambapo chuma kipo njenje Tu then chuma chetu kitumike kwenye miradi yaani mzungu achukue tenda lakini chuma anunue nyumbani kwetu.. wakampinga sasa kwani hiyo miradi si imetushinda?Wewe ungefanya nini na wapinzani wanaopinga ujenzi wa bwawa la umeme, SGR, serikali kuhamia UDOM, na uzuiaji wa wizi wa makinikia?
Yule mshamba wa kisukuma alikuwa fisadi lisilo na mfano, shukuru Samia alificha siri yake, alificha pesa nyingi sana China na zilikutwa Mabilioni mengi nyumbani kwake. Pesa zilibebwa kwa magunia kutoka Mkombozi Bank, benki ya wakatoliki na ni kwasababu ye ni mkatoliki. Aliiharibu nchi mpk leo tunaumia. Aliigawa nchi vipandevipande madhara yanayoonekana mpk leo. Mfuateni huyo mtutsi wenuWewe ni taahira!..
Ilikuwa bora sana alichofanya Magufuli kwamba bora tulipe fidia ya bilioni kadhaa itajifidia mbele ya safari kuliko kuendelea kunyonywa mabilioni muda wote.
Magufuli alikuwa anawazindua akili kwamba mnapaswa kupigania rasilimali zenu zinazoibiwa kila kukicha ila wapumbavu kama wewe mkaishia kuongea siasa! Ndio shida ya nyie wapumbavu mnaona mwisho wa miguu yenu tu.
Mbona kachere hajachomolewa deni la taifa Kwa sasa ni shilling ngapi?Realy? Hawakuwa wakipinga maendeleo per say, but priorities
Didnt CAG akaja na report iliyoonyesha mianya? Mpaka wakamchomoa yule bwana kwa hila?
Mbona Mrundi Jiwe hakuwa raia halali? Nchi alikuwa anaitawala Kihutu mpaka wenye akili timamu walipoamua kuwa enough is enough wakamrestisha in hell.Lissu alikuwa anatumika na mafisadi yaliyo mchukia JPM ...wa ndani ya chama chake na wafanyabiashara mafisadi, wewe ujiulizi kwanini Samia alitimka mbio baada ya Lissu kupigwa risasa lengo lilikuwa ni kumrubuni azidishe kumpinga jpm kwa maslai ya Genge la raia feki na mafisadi ambao samia ni mmoja wao
Ndiyo aina ya maswali ninayoiliza.Kiongozi wa chadema ameuawa ,Soka ametekwa kwa hiyo Heche anasapoti?
Kwa ushauri huu wa Heche maana yake leo tusingekuwa na bwawa la umeme, sgr wala ndegeHeche alishauri kwamba kabla ya miradi hiyo mikubwa kwann tusianze na mgodi WA kuzalisha vyumba ambapo chuma kipo njenje Tu then chuma chetu kitumike kwenye miradi yaani mzungu achukue tenda lakini chuma anunue nyumbani kwetu.. wakampinga sasa kwani hiyo miradi si imetushinda?
Ukimsikiliza makamu mwenyekiti wa Chadema John Heche kwenye hotuba zake kuhusu wizi wa rasilimali za taifa utashindwa kuelewa kwanini alimpinga Hayati Magufuli.
John Heche amefafanua kuwa wizi wa rasilimali za nchi kwa sasa umefikia kiwango cha kutisha sana, mfano watanzania walitumia kodi zao zaidi ya trillion 1.2 kuichimba bandari ya Dares salaam kufikia uwezo wa meli yenye urefu wa mita 300 kutia nanga lakini uchimbaji ulipokamilika akapewa mwarabu bandari, yani mwarabu alichokifanya ni kuleta mashine tu na kuanza kunyonya hela maana bandari imeshachimbwa tayari!.
John Heche anazungumzia namna utoroshaji wa madini ulivyowakutisha sasa hivi, tangu Magufuli afariki hamna billionea wa madini aliyeibuka!. Heche anaeleza namna ambavyo serikali ya Samia iko kimya kuhusu uanzishwaji wa viwanda wakati viwanda ndiyo injini ya uchumi wa taifa lolote
Jpm alizungumzia na kulaani wizi kwa vitendo? Ni katika kipindi chake ndo makonda kawa bilionea kwa wizi kuoitia kuwatisha wafanyabiashara. Ni katika kipindi chake ndo akina sabaya wamekiwa mabilonea kwa kuwanyanyasa wafanyabiashara.Ukimsikiliza makamu mwenyekiti wa Chadema John Heche kwenye hotuba zake kuhusu wizi wa rasilimali za taifa utashindwa kuelewa kwanini alimpinga Hayati Magufuli.
John Heche amefafanua kuwa wizi wa rasilimali za nchi kwa sasa umefikia kiwango cha kutisha sana, mfano watanzania walitumia kodi zao zaidi ya trillion 1.2 kuichimba bandari ya Dares salaam kufikia uwezo wa meli yenye urefu wa mita 300 kutia nanga lakini uchimbaji ulipokamilika akapewa mwarabu bandari, yani mwarabu alichokifanya ni kuleta mashine tu na kuanza kunyonya hela maana bandari imeshachimbwa tayari!.
John Heche anazungumzia namna utoroshaji wa madini ulivyowakutisha sasa hivi, tangu Magufuli afariki hamna billionea wa madini aliyeibuka!. Heche anaeleza namna ambavyo serikali ya Samia iko kimya kuhusu uanzishwaji wa viwanda wakati viwanda ndiyo injini ya uchumi wa taifa lolote
Hakuwa raia halali lakini ametuachia bwawa la umeme, majenereta byebyeMbona Mrundi Jiwe hakuwa raia halali? Nchi alikuwa anaitawala Kihutu mpaka wenye akili timamu walipoamua kuwa enough is enough wakamrestisha in hell.
Wewe ni taahira!Yule mshamba wa kisukuma alikuwa fisadi lisilo na mfano, shukuru Samia alificha siri yake, alificha pesa nyingi sana China na zilikutwa Mabilioni mengi nyumbani kwake. Pesa zilibebwa kwa magunia kutoka Mkombozi Bank, benki ya wakatoliki na ni kwasababu ye ni mkatoliki. Aliiharibu nchi mpk leo tunaumia. Aliigawa nchi vipandevipande madhara yanayoonekana mpk leo. Mfuateni huyo mtutsi wenu
Si mlimpeleka mahakamani Makonda, je kesi ziliishaje? Nyumbu nyie ni wajinga sanaLini
Jpm alizungumzia na kulaani wizi kwa vitendo? Ni katika kipindi chake ndo makonda kawa bilionea kwa wizi kuoitia kuwatisha wafanyabiashara. Ni katika kipindi chake ndo akina sabaya wamekiwa mabilonea kwa kuwanyanyasa wafanyabiashara.
Ni katika kipindi chake ndo matenda yote alikuw anapewa mjomba wake na anaowajua tu, tenderling acts zilivunjwa.
Nyumbani kwake zilikutwa pesa nyingi zisizokifani (in Lisu voice)
Ni katika kipindi chake Biswalo aliiba pesa nyingi sana kwa kushirikiana naye na kuzificha china.
Jpm alikuwa fisadi la kutupwa
Kwahiyo hao wenye akili sasa hivi wanaona mambo yapo poa au siyo?Mbona Mrundi Jiwe hakuwa raia halali? Nchi alikuwa anaitawala Kihutu mpaka wenye akili timamu walipoamua kuwa enough is enough wakamrestisha in hell.
Bora huyo aliwapa tenda wajomba zake wa hapa nyumbani kuliko hako ka chura kiziwi kenu kanawapa hadi bandari wajomba wa uarabuniLini
Jpm alizungumzia na kulaani wizi kwa vitendo? Ni katika kipindi chake ndo makonda kawa bilionea kwa wizi kuoitia kuwatisha wafanyabiashara. Ni katika kipindi chake ndo akina sabaya wamekiwa mabilonea kwa kuwanyanyasa wafanyabiashara.
Ni katika kipindi chake ndo matenda yote alikuw anapewa mjomba wake na anaowajua tu, tenderling acts zilivunjwa.
Nyumbani kwake zilikutwa pesa nyingi zisizokifani (in Lisu voice)
Ni katika kipindi chake Biswalo aliiba pesa nyingi sana kwa kushirikiana naye na kuzificha china.
Jpm alikuwa fisadi la kutupwa
Uwe unafuatilia taarifa za serikali au za shippersNi ufanisi upi ulioletwa?
Bwawa la umeme limefanya nini wakati kila siku umeme unakatika.Sasa hivi wameagiza umeme kutoka Ethiopia kama siyo matumizi mabaya ya muda na tambo za kipumbavu.Hakuwa raia halali lakini ametuachia bwawa la umeme, majenereta byebye