PreGE2025 John Heche ameanza kuzungumza kama Hayati Magufuli

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ukiwapa watanzania hawawezi kukupa 10 bilioni?
 
Nyie watu uelewa wenu ulidumazwa na chakula kibovu? Angalau ulijiuliza Magufuli alikuwa anapingwa kwa mambo gani au ulikuwa unakokotwa na kokoro tu?
 
Kwa hiyo watanzania wanachokiweza ni kuwaweka madarakani tu nyie ili mle kwa urefu wa kamba zenu ila siyo kuwaongoza?
 
Nyie watu uelewa wenu ulidumazwa na chakula kibovu? Angalau ulijiuliza Magufuli alikuwa anapingwa kwa mambo gani au ulikuwa unakokotwa na kokoro tu?
We hujui walichopinga? Si chadema wanaita maendeleo ya watanzania ni maendeleo ya vitu?
 
Hivi kwenye hili tunatakwimu maana zingekata vimdomo
 
Kwa hiyo watanzania wanachokiweza ni kuwaweka madarakani tu nyie ili mle kwa urefu wa kamba zenu ila siyo kuwaongoza?
Mimi siongelei siasa hapa, naongelea kukusanya kodi na kuwapatia huduma bora kabisa watanzania
sijahusianisha na siasa Boss wangu
 
Magufuli alikuwa anaua wapinzani na raia wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…