Maswa Yetu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2023
- 1,398
- 2,619
- Thread starter
-
- #161
Tutashitakiwa MIGALissu anatakaje nchi idhulumiwe kwa mikataba ambayo hadi leo mnaipitisha wenyewe, mara Bandari, mara mnafukuza wamasai mara mnavuna carbon bure mara gas inaondoshwa. Huyo Lissu amewahi kuingia mkataba gani kati ya yooote hiyo ya kinyonyaji.
Ila umesemajeSijasema hivyo
Kesi tulizoshutakiwa mpaka ndege zikazuiwa ulikuwa bado hujazaliwa au ulikuwa unaishi msituni.Tutashitakiwa MIGA
Ndege zimezuiliwa nchi gani? Tanzania imefilisiwa kama alivyosema Lisu?Kesi tulizoshutakiwa mpaka ndege zikazuiwa ulikuwa bado hujazaliwa au ulikuwa unaishi msituni.
Kubishana na kukataa ukweli na kumbukumbu zipo, tunaita kujitoa akili na kujisahaulisha. Tumeshitakiwa kwa kesi zaidi ya 3 tofauti na nchi ikalipa. Jifanye mtetezi wa weziNdege zimezuiliwa nchi gani? Tanzania imefilisiwa kama alivyosema Lisu?
Emotional being 😂😂Ukimsikiliza makamu mwenyekiti wa Chadema John Heche kwenye hotuba zake kuhusu wizi wa rasilimali za taifa utashindwa kuelewa kwanini alimpinga Hayati Magufuli.
John Heche amefafanua kuwa wizi wa rasilimali za nchi kwa sasa umefikia kiwango cha kutisha sana, mfano watanzania walitumia kodi zao zaidi ya trillion 1.2 kuichimba bandari ya Dares salaam kufikia uwezo wa meli yenye urefu wa mita 300 kutia nanga lakini uchimbaji ulipokamilika akapewa mwarabu bandari, yani mwarabu alichokifanya ni kuleta mashine tu na kuanza kunyonya hela maana bandari imeshachimbwa tayari!.
John Heche anazungumzia namna utoroshaji wa madini ulivyowakutisha sasa hivi, tangu Magufuli afariki hamna billionea wa madini aliyeibuka!. Heche anaeleza namna ambavyo serikali ya Samia iko kimya kuhusu uanzishwaji wa viwanda wakati viwanda ndiyo injini ya uchumi wa taifa lolote.
John Heche anaeleza kwa kina namna ambavyo report ya CAG ya mwaka 2025 ilivyokuja na uchafu na ufisadi wa kutisha ambapo watu wamekula kwa urefu wa kamba zao bila kukemewa na viongozi wakuu wa serikali ambacho ni kiashiria cha kwamba serikali hii inalea ufisadi badala ya kupinga ufisadi.
Yani Lisu alitaka tuibiwe madini yetu kisa tumeogopa kushitakiwa kesi 3?Kubishana na kukataa ukweli na kumbukumbu zipo, tunaita kujitoa akili na kujisahaulisha. Tumeshitakiwa kwa kesi zaidi ya 3 tofauti na nchi ikalipa. Jifanye mtetezi wa wezi
Tuliingia uchumi wa katiEmotional being 😂😂
Back kwenye mada,baada ya Magufuli kuzungumza hivyo, maskini mlipungua au mlizidi.kudidimia.huko baada ya kuwanunilia ndege mpande?
Walioingia uchumi wa kati ni wenye pesa,wewe maskini ukiingia uchumi q kati upi?Tuliingia uchumi wa kati
Kila siku watu wanapata pesaWalioingia uchumi wa kati ni wenye pesa,wewe maskini ukiingia uchumi q kati upi?
Akili zako zina shida. Wenzako wanauza nchi wewe unatetea ujinga.Yani Lisu alitaka tuibiwe madini yetu kisa tumeogopa kushitakiwa kesi 3?
Alafu akitokea mtu hataki wizi nyie nyumbu mnamtukanaAkili zako zina shida. Wenzako wanauza nchi wewe unatetea ujinga.
Kati ya Sultan na wazungu nani alitangulia kufika?
Hivi Ndugai alisema nchi itafanywaje na wakamfanyaje ? Waarabu wameuziwa kila kitu, mitanganyika imebweteka. Ukiona mtu anasifia jua akili zimehama.Alafu akitokea mtu hataki wizi nyie nyumbu mnamtukana
Kwa mujibu wa nyumbu walisifia alichofanyiwa NdugaiHivi Ndugai alisema nchi itafanywaje na wakamfanyaje ? Waarabu wameuziwa kila kitu, mitanganyika imebweteka. Ukiona mtu anasifia jua akili zimehama.
John Heche ametubuMtanikumbuka 😂