Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ndio kama tulivyosema toka awali kwamba hakuna kijiji kitakachoachwa, sisi na Wananchi wao na Polisi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ibilisi na Malaika zake walioko kuzimu na walioko duniani wakiona namna hii wanajuta kweli kweriii.Walijiapiza kuiua Chadema wakapiga na mapushapu lakini mawazo ya Mungu sio ya mwanadamu.Ndio kama tulivyosema toka awali kwamba hakuna kijiji kitakachoachwa , Sisi na Wananchi wao na Polisi
View attachment 1996714
Mku naona Chadema mnatuasha kwani ss tunaijadili 2025. HongereniNdio kama tulivyosema toka awali kwamba hakuna kijiji kitakachoachwa , Sisi na Wananchi wao na Polisi
View attachment 1996714
Tunawatakia kila la heri na muendelezo wa mbwembwe zenu, lakini mjue Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025 CCM lazima tuibuke na USHINDI WA KISHINDO!!!Ndio kama tulivyosema toka awali kwamba hakuna kijiji kitakachoachwa , Sisi na Wananchi wao na Polisi
View attachment 1996714
katika wanaccm ninaowafahamu wewe haumoTunawatakia kila la heri na muendelezo wa mbwembwe zenu, lakini mjue Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025 CCM lazima tuibuke na USHINDI WA KISHINDO!!!
Mona na wewe kwenye "elites" wa Chadema haumo pamoja na kiherehere cha kupost mambo yao kila mara?katika wanaccm ninaowafahamu wewe haumo
Magaidi kazi mnayo.Ndio kama tulivyosema toka awali kwamba hakuna kijiji kitakachoachwa, Sisi na Wananchi wao na Polisi
Kidumu CDM!!!Ndio kama tulivyosema toka awali kwamba hakuna kijiji kitakachoachwa, sisi na Wananchi wao na Polisi.
Mbona tumeambiwa CHADEMA ni chama cha mjini tu na kijijini hta hamna anayekijua? Hii itakua photoshop!!Ndio kama tulivyosema toka awali kwamba hakuna kijiji kitakachoachwa, sisi na Wananchi wao na Polisi.
[emoji38][emoji38][emoji38]Mbona tumeambiwa CHADEMA ni chama cha mjini tu na kijijini hta hamna anayekijua? Hii itakua photoshop!!