Pre GE2025 John Heche: CCM haitaki uchaguzi, Makalla akisema 'hatujajiandaa' aulizwe kwa nini wanaengua wagombea

Pre GE2025 John Heche: CCM haitaki uchaguzi, Makalla akisema 'hatujajiandaa' aulizwe kwa nini wanaengua wagombea

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Bara John Wegesa Heche John Heche amesema chama hicho kimejiandaa kushiriki uchaguzi mwaka huu hivyo kikisema 'no reform no election' isitafsiriwe kama hawakujiandaa.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Heche akizungumza Februari 21, jijini Arusha amesema pale ambapo Katibu Wa Halmashauri Kuu Itikadi Uenezi na Mafunzo CCM Amos Makalla akisema CHADEMA haijajiandaa na uchaguzi aulizwe kwa nini wagombea wa CHADEMA wakichukua fomu wanaenguliwa.

Hata hivyo Heche amesema kubwa wanalohitaji kama chama chao ni uwepo wa uchaguzi wa uhuru na wa haki ndipo watakuwa tayari kushiriki.

 
Write your reply...
Amos Makalla hebu njoo huku ujibu eti kwanini mnaengua wagombea wa upinzani?
 
Ndugu Heche aambiwe kuwa habari za ccm kukataa uchaguzi huru na wa haki siyo mpya mjini. Heche na Lisu wajikite kutuelekeza wananchi ni kwa namna gani uchaguzi tutauzuia.
 
Back
Top Bottom