DogoWaNjombe JF-Expert Member Joined Feb 7, 2022 Posts 3,284 Reaction score 7,708 Jun 30, 2025 #1 Your browser is not able to display this video. Akizungumza leo Juni 30, 2025 Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amedai kuwa hotuba ya Rais Samia aliyoitoa Ijumaa iliyopita Juni 27, 2025 ilielekea zaidi katika kutoa maelekezo kwa vyombo vya Dola kuliko kuzungumza na Wananchi.
Your browser is not able to display this video. Akizungumza leo Juni 30, 2025 Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amedai kuwa hotuba ya Rais Samia aliyoitoa Ijumaa iliyopita Juni 27, 2025 ilielekea zaidi katika kutoa maelekezo kwa vyombo vya Dola kuliko kuzungumza na Wananchi.
A Abalkheir Member Joined Jul 10, 2024 Posts 90 Reaction score 25 Jun 30, 2025 #2 Kwan kwa upande wake je kuna kiongozi wa ccm ambae ashawah ongea na wananchi???
ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 16,871 Reaction score 39,881 Jun 30, 2025 #3 Chadema ndo Chama langu