A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Jun 17, 2025 #21 Waufukweni said: Mheshimiwa Jaji Mwanga ameteuliwa kutoka Tume ya Uchaguzi Zanzibar(ZEC) Click to expand... Hapo ni TANGANYIKA vs ZANZIBAR tena. Hivi mahakama ni suala la muungano? Na je, kuna majaji wa kutoka Tanganyika kule Zanzibar?
Waufukweni said: Mheshimiwa Jaji Mwanga ameteuliwa kutoka Tume ya Uchaguzi Zanzibar(ZEC) Click to expand... Hapo ni TANGANYIKA vs ZANZIBAR tena. Hivi mahakama ni suala la muungano? Na je, kuna majaji wa kutoka Tanganyika kule Zanzibar?
M Mwangazza JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 34,153 Reaction score 51,777 Jun 18, 2025 #22 Mzalendo Uchwara said: Kupatwa kwa dola. Huko mbele sarikali nzima itakuja kuwa inajibu kwa boss wa TISS Click to expand... Kivip
Mzalendo Uchwara said: Kupatwa kwa dola. Huko mbele sarikali nzima itakuja kuwa inajibu kwa boss wa TISS Click to expand... Kivip
Ralphryder JF-Expert Member Joined Nov 16, 2011 Posts 5,599 Reaction score 1,801 Jun 18, 2025 #23 Matrix19 said: Kumbe umepona kwenye ajali ya lorry Simiyu maana nimeambiwa wewe ndio ulikua kiongozi wa msafara. Click to expand... Wafuasi wa Lissu akili zenu sawa na za ng'ombe tu.
Matrix19 said: Kumbe umepona kwenye ajali ya lorry Simiyu maana nimeambiwa wewe ndio ulikua kiongozi wa msafara. Click to expand... Wafuasi wa Lissu akili zenu sawa na za ng'ombe tu.