John Heche: Mahakama isipange kesi ya Lissu kwenye Vyumba vidogo

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Your browser is not able to display this video.
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA – Bara, John Heche ametoa wito kwa Mahakama kutumia Vyumba vikubwa wakati wa mchakato wa kesi ambayo Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Tundu Lissu ameifungua katika Mahakama Kuu akiitaka kufanya marejeo ya kesi ya uchochezi inayomkabili katika Mahakama Kisutu.

Heche ameyasema hayo alipozungumza na Wanahabari, Juni 27, 2025 baada ya Mahakama hiyo kuamua kuwa uamuzi wa mapingamizi ya Jamhuri kwenye hiyo utatolewa Julai 11, 2025.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…