britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Mambo ya O'bey tena?Sipo hapa kumtisha ila Nipo Hapa kumpa Alert kujilinda zaidi,
Anajadiliwa sana na watu wa kulee, awe makin sana!
Naomba usipuuze hii!
Kaa maeneo salama na pia avoid any meeting na yeyote atakayekuita week hii Oysterbay
Britanicca
amewindwa ni muda mrefu sasa. Pamoja na kujilinda Mungu Yuko pamoja naye! wenye haki wote na hao wenye kuzisimamia haki watalindwa na nguvu za Mungu.Sipo hapa kumtisha ila Nipo Hapa kumpa Alert kujilinda zaidi,
Anajadiliwa sana na watu wa kulee, awe makin sana!
Naomba usipuuze hii!
Kaa maeneo salama na pia avoid any meeting na yeyote atakayekuita week hii Oysterbay
Britanicca
Exactly! Target namba moja heche !Duuh.
Yote hiyo hofu ya 7/7 au siyo?
Huko makambini unaambiwa wameambiwa wake standbyDuuh.
Yote hiyo hofu ya 7/7 au siyo?
Mkurya ukimgusa umegusa kitunda nzimaIla Heche naye huwa hakamatwi sana pamoja na kutema sumu lakini jamaa huwa hapatagi hekaheka au naye nikitengo nini? Pia huwa haogopi kipindi kile wengi walikimbia nje ya nchi ila yeye alibaki
Wakimzuia au kumzima huyo wataibuka wengine.Exactly! Target namba moja heche !
The man is very focused and cantankerous!
Anawaumiza vichwa
Britanicca
Mwenye kuwatambua hawa aongeze tahadhariSipo hapa kumtisha ila nipo hapa kumpa alert kujilinda zaidi, anajadiliwa sana na watu wa kulee, awe makini sana!
Naomba usipuuze hii!
Kaa maeneo salama na pia avoid any meeting na yeyote atakayekuita week hii Oysterbay
Britanicca
Kitengo kina watu wengi hadi wengine hakiwakumbukiIla Heche naye huwa hakamatwi sana pamoja na kutema sumu lakini jamaa huwa hapatagi hekaheka au naye nikitengo nini? Pia huwa haogopi kipindi kile wengi walikimbia nje ya nchi ila yeye alibaki
AMkurya ukimgusa umegusa kitunda nzima
Wamasaai na wakurya ndo watu pekee ambao hawajali sheria inasema nini likija suala la kudai haki yao! Hata Ikulu inaweza chomwa hawana mchezo wale !! Uliona ya Loliondo?
Achana na watu ambao wako united
Watu wa kule wana maisha tofauti na sie, au waona raha tu kuwataabisha wengine au wanalipwa 25 million kwa mweziSipo hapa kumtisha ila nipo hapa kumpa alert kujilinda zaidi, anajadiliwa sana na watu wa kulee, awe makini sana!
Naomba usipuuze hii!
Kaa maeneo salama na pia avoid any meeting na yeyote atakayekuita week hii Oysterbay
Britanicca
Alijaribu kukimbia akakamatwa mpakani akawekwa ndani hadi ilipoisha vurugu ya 29/10.Ila Heche naye huwa hakamatwi sana pamoja na kutema sumu lakini jamaa huwa hapatagi hekaheka au naye nikitengo nini? Pia huwa haogopi kipindi kile wengi walikimbia nje ya nchi ila yeye alibaki