John Heche nakushauri chunga kinywa chako, acha kuitishia mamlaka

Heche alikuomba ushauri?
 
Mwovu hana uwezo wa kutisha watu,raia wanataka haki mmekalia amani amani.
 
Unajua siasa na sheria kuliko Lisu na Heche?
 
Wewe ndio uchunge kinywa chako sio heche, unampachikia maneno alafu unajaribu kumtisha😆, yule ameshavuka hatua za kutishwa na akaogopa....amevuka huko, hata haogopi kufa muhimu akemee uovu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…