GE2025 John Heche: Ni tatizo kuiruhusu CCM iendelee kuiongoza nchi hii, ni kuua nchi hii

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche amesema Kesi zinazo wakabili ni Kesi za Kisiasa baada ya kushindwa kudhiti hoja ya 'No Reforms No Election', "Alikamatwa Lissu wakasema ooh! Chama kita-'Paralysis', tukaendeleza Moto ule, sasa ndio wameibuka na hayo mambo. Zuia wasitambue Uongozi, kwamba hawamtambui Katibu Mkuu, Msajili alisemaje? Kwamba kisingizo hatukufuata Katiba ya Chama chetu."

"Juzi Polepole, Malisa wamesema, Rais Samia Suluhu Hassan hajachaguliwa kwa mujibu wa Katiba ya Chama Chao!?"

"Ni tatizo kuiruhusu CCM iendelee kuiongoza nchi hii, ni kuua nchi hii"

Niko vijijini ndani kabisa huku kwa Wasukuma, yaani licha kwamba ccm wako peke yao, wanatoa rushwa kama njugu karibu kila vikao

Wasukuma wanajina moja hivi la hizi pesa haramu za rushwa kwa jina la (Senene)
 
Kinehe bhabha
 
mbona unataka kuwazoea sana, utarogwa
 
Hatutaki majimbo ya kupewa na CCM au Serikali tunataka majimbo ya kupewa na wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…