Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
New Tactics.......Safi sanaCHADEMA tunapenda tusomeke kuwa sisi ni wapigania haki na pia tunaheshimu misingi ya sheria na utawala bora hivyo tuna wajibu wa kuheshimu maamuzi ya mahakama katika misingi iliyo ya haki na kweli kamwe hatutasujudu kwenye mambo ya hila na ukandamizaji. Tuna kusudi la kuomba la kuomba mapitio upya yaani review ya hukumu hiyo ya tarehe 10, juni 2025 maana amri zilizotolewa hazina msingi wa haki.”
“Wakati jambo hili likiendelea kufanywa na wanasheria wetu tunawaelekeza wanachama amri zifuatazo. Amri ya zuio la kutokujishughulisha na shughuli za siasa imeelekezwa kwa Katibu Mkuu na bodi ya wadhamini hivyo viongozi wengine wote na wanachama tunawaelekeza kuendelea na shughuli za kisiasa kama kawaida bila kutumia rasilimali za chama. Hivi sasa chama kipo kwenye program ya kichama ya kuziba mapengo vikao hivi viendelee na kazi hii ikamilike kama ilivyopangwa”
Amesema John Heche akizungumza kupitia akaunti ya YouTube ya CHADEMA MEDIA TZ leo Juni 17, 2025.
Out of the box safiCHADEMA tunapenda tusomeke kuwa sisi ni wapigania haki na pia tunaheshimu misingi ya sheria na utawala bora hivyo tuna wajibu wa kuheshimu maamuzi ya mahakama katika misingi iliyo ya haki na kweli kamwe hatutasujudu kwenye mambo ya hila na ukandamizaji. Tuna kusudi la kuomba la kuomba mapitio upya yaani review ya hukumu hiyo ya tarehe 10, juni 2025 maana amri zilizotolewa hazina msingi wa haki.”
“Wakati jambo hili likiendelea kufanywa na wanasheria wetu tunawaelekeza wanachama amri zifuatazo. Amri ya zuio la kutokujishughulisha na shughuli za siasa imeelekezwa kwa Katibu Mkuu na bodi ya wadhamini hivyo viongozi wengine wote na wanachama tunawaelekeza kuendelea na shughuli za kisiasa kama kawaida bila kutumia rasilimali za chama. Hivi sasa chama kipo kwenye program ya kichama ya kuziba mapengo vikao hivi viendelee na kazi hii ikamilike kama ilivyopangwa”
Amesema John Heche akizungumza kupitia akaunti ya YouTube ya CHADEMA MEDIA TZ leo Juni 17, 2025.
katibu mkuu hewa siao?CHADEMA tunapenda tusomeke kuwa sisi ni wapigania haki na pia tunaheshimu misingi ya sheria na utawala bora hivyo tuna wajibu wa kuheshimu maamuzi ya mahakama katika misingi iliyo ya haki na kweli kamwe hatutasujudu kwenye mambo ya hila na ukandamizaji. Tuna kusudi la kuomba la kuomba mapitio upya yaani review ya hukumu hiyo ya tarehe 10, juni 2025 maana amri zilizotolewa hazina msingi wa haki.”
“Wakati jambo hili likiendelea kufanywa na wanasheria wetu tunawaelekeza wanachama amri zifuatazo. Amri ya zuio la kutokujishughulisha na shughuli za siasa imeelekezwa kwa Katibu Mkuu na bodi ya wadhamini hivyo viongozi wengine wote na wanachama tunawaelekeza kuendelea na shughuli za kisiasa kama kawaida bila kutumia rasilimali za chama. Hivi sasa chama kipo kwenye program ya kichama ya kuziba mapengo vikao hivi viendelee na kazi hii ikamilike kama ilivyopangwa”
Amesema John Heche akizungumza kupitia akaunti ya YouTube ya CHADEMA MEDIA TZ leo Juni 17, 2025.
Hii ina nguvu na impact mara 10 zaidi ya kutumia rasilimali za Chama.CHADEMA tunapenda tusomeke kuwa sisi ni wapigania haki na pia tunaheshimu misingi ya sheria na utawala bora hivyo tuna wajibu wa kuheshimu maamuzi ya mahakama katika misingi iliyo ya haki na kweli kamwe hatutasujudu kwenye mambo ya hila na ukandamizaji. Tuna kusudi la kuomba la kuomba mapitio upya yaani review ya hukumu hiyo ya tarehe 10, juni 2025 maana amri zilizotolewa hazina msingi wa haki.”
“Wakati jambo hili likiendelea kufanywa na wanasheria wetu tunawaelekeza wanachama amri zifuatazo. Amri ya zuio la kutokujishughulisha na shughuli za siasa imeelekezwa kwa Katibu Mkuu na bodi ya wadhamini hivyo viongozi wengine wote na wanachama tunawaelekeza kuendelea na shughuli za kisiasa kama kawaida bila kutumia rasilimali za chama. Hivi sasa chama kipo kwenye program ya kichama ya kuziba mapengo vikao hivi viendelee na kazi hii ikamilike kama ilivyopangwa”
Amesema John Heche akizungumza kupitia akaunti ya YouTube ya CHADEMA MEDIA TZ leo Juni 17, 2025.
Wakivuka hili, watakuwa formidable, even ccm knows thisWazungu wametuacha mbali na hata wachina pia kwakuwa kuna vipindi walivipitia havikuwa rafiki.. "Comfort zone" inalemaza.. Kwa haya inayopitia CDM ni hatua muhimu sana kwenye kukua, kukomaa na kuimarika zaidi
No turning backNew Tactics.......Safi sana
Kama rais fakekatibu mkuu hewa siao?
Oxygen au hydrogen ?katibu mkuu hewa siao?
They will make it.. Trust meWakivuka hili, watakuwa formidable, even ccm knows this
hii alisema lini mkuu na je kuna video clip ?"namshukuru kikwete kuilea chadema na kuwa chama Bora na imara!na Sasa sisi comrades tunapata pa kupumulia nankufurahi,mtoto wa kitanganyika akituokoa Kwa mlango was nyuma vile!wakati ccm yetu imetekwa na chawa fc!
Namshukuru mungu!Namshukuru kikwete"
Alisikia Mzee warioba akiwa hukooo Butiama!