Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Internet never forgets…. Muda ni hakimu wa yote!!Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amesema "Msimamo wetu upo wazi, bila mabadiliko hakutakuwa na uchaguzi na hatutashiriki uchaguzi"
Sawa kwani Kuna shida gani Chadema isiposhiriki uchaguzi?Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amesema "Msimamo wetu upo wazi, bila mabadiliko hakutakuwa na uchaguzi na hatutashiriki uchaguzi"
Pia, Soma
Hili neno!.Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amesema "Msimamo wetu upo wazi, bila mabadiliko Chadema hatutashiriki uchaguzi"
Hawana faida yyte kushiriki kutoshiriki ni uamuzi waoMakamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amesema "Msimamo wetu upo wazi, bila mabadiliko hakutakuwa na uchaguzi na hatutashiriki uchaguzi"
Pia, Soma