Pre GE2025 John Heche: Tumeamua kuhakikisha kwamba uchaguzi haufanyiki. Tutawashirikisha Viongozi wa dini, mashirika ya kimataifa, balozi na NGO's

Pre GE2025 John Heche: Tumeamua kuhakikisha kwamba uchaguzi haufanyiki. Tutawashirikisha Viongozi wa dini, mashirika ya kimataifa, balozi na NGO's

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
NI UPUMBAVU WA HALI YA JUU SANA HUO BADALA YA KUWAANDAA WANACHAMA WENU NA KUJIANDAA KWA UCHAGUZI MNAONA HIYO YA KUZUIA UCHAGUZI INAWEZEKANA? WHO ARE YOU BY THE WAY? KATIKA NCHI HII? SEMENI KUWA HAMJAJIANDAA KWA UCHAGUZI HIVYO HIZO NI SABABU TU KWANZA HAMNA HELA
 
Wapumbavu ni nyie mnaoogopa mabadiliko,kama mmejiandaa kwa ushindi mbona mnaogopa mabadiliko
 
No Reforms No election
 
Wapumbavu ni nyie mnaoogopa mabadiliko,kama mmejiandaa kwa ushindi mbona mnaogopa mabadiliko
YAAAANI WAJINGA BADO WENGI ONA MWINGINE HUYU ANAFIKIRI HIYO UJINGA INAWEZEKANA AIBU KWAO KUBWA MNO
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche akizungumza kupitia East Africa Radio leo Feb 27, amesema;

"Katika mazingira yaliyopo hatutashiriki na uchaguzi hautafanyika, tumeamua kuhakikisha kwamba uchaguzi haufanyiki"

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Umeenda umepanga foleni jua kali inapiga kura. Then kura yako inatupwa kule wanaleta mabox yao ya box

Ukirudi kupiga kura tena weww huna akili

No reform no electing
 
Kifupi Lisu mbinafsi baada ya kuona chama hakina pesa za kampeni ameamua kutumia tactic ya tukose wote no reform no election ni mbinu ya tukose wote ndani ya Chadema kuwa hata aliyejipanga kugombea udiwani au ubunge marufuku kisa tu chama hakina hela za kampeni ya Uraisi ya Lisu

Ombi langu kwa Wanachadema wote mliokuwa mumejiandaa kugombea huyu Lisu asiwaburuze kama anavyojiita one man army msikubali.Kugombea ni haki yenu kikatiba kamburuza Mbowe sasa anataka kuburuza wanachama kutotumia haki yao ya kikatiba ya kugombea

Mwambieni hapana tutagombea

Lisu na Heche wote ma Diaspora hawana cha kupoteza

Uchaguzi ukipita na hamkugombea wao hawana shida Lisu anatimkia ubelgiji na Heche anatimkia Canada

Hiyo slogan ya no reform no election wanaoielewa ni Lisu na Heche wake

Wanachadema huku chini hawaelewi na hawaikubali

Ni wimbo wa viongozi sio wanachama
 
Back
Top Bottom