Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
AiseeMakamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche
"Katika mazingira yaliyopo hatutashiriki na uchaguzi hautafanyika, tumeamua kuhakikisha kwamba uchaguzi haufanyiki"
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Wapumbavu ni nyie mnaoogopa mabadiliko,kama mmejiandaa kwa ushindi mbona mnaogopa mabadilikoNI UPUMBAVU WA HALI YA JUU SANA HUO BADALA YA KUWAANDAA WANACHAMA WENU NA KUJIANDAA KWA UCHAGUZI MNAONA HIYO YA KUZUIA UCHAGUZI INAWEZEKANA? WHO ARE YOU BY THE WAY? KATIKA NCHI HII? SEMENI KUWA HAMJAJIANDAA KWA UCHAGUZI HIVYO HIZO NI SABABU TU KWANZA HAMNA HELA
No Reforms No electionNI UPUMBAVU WA HALI YA JUU SANA HUO BADALA YA KUWAANDAA WANACHAMA WENU NA KUJIANDAA KWA UCHAGUZI MNAONA HIYO YA KUZUIA UCHAGUZI INAWEZEKANA? WHO ARE YOU BY THE WAY? KATIKA NCHI HII? SEMENI KUWA HAMJAJIANDAA KWA UCHAGUZI HIVYO HIZO NI SABABU TU KWANZA HAMNA HELA
YAAAANI WAJINGA BADO WENGI ONA MWINGINE HUYU ANAFIKIRI HIYO UJINGA INAWEZEKANA AIBU KWAO KUBWA MNOWapumbavu ni nyie mnaoogopa mabadiliko,kama mmejiandaa kwa ushindi mbona mnaogopa mabadiliko
Umeenda umepanga foleni jua kali inapiga kura. Then kura yako inatupwa kule wanaleta mabox yao ya boxMakamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche akizungumza kupitia East Africa Radio leo Feb 27, amesema;
"Katika mazingira yaliyopo hatutashiriki na uchaguzi hautafanyika, tumeamua kuhakikisha kwamba uchaguzi haufanyiki"
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hakikaukichaa ni kufanya kitu kile kile na kutegemea matokeo tofauti
Na CCM tuko determined kuhakikisha unafanyika"Tuko determined kuhakikisha uchaguzi haufanyiki."- John Heche
bila kuwa na katiba mpya au tume huru ya uchaguzi, sio kwamba haufanyiki kabisa"Tuko determined kuhakikisha uchaguzi haufanyiki."- John Heche
Penye nia....Mmh! Plan ngumu kutekelezeka ila ngoja tuone
Na wewe umemuamini?"Tuko determined kuhakikisha uchaguzi haufanyiki."- John Heche
Pana njiaPenye nia....