Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amesema moja kati ya jambo linalothibitisha kwamba elimu ya shule za serikali si nzuri na haiaminiki ni hali ya viongozi wa juu serikalini ma kwenye vyama vya siasa kutopeleka watoto wao katika shule hizo.