Pre GE2025 John Heche: Viongozi waliokatiwa mrija ndio wanaoleta chokochoko CHADEMA

Pre GE2025 John Heche: Viongozi waliokatiwa mrija ndio wanaoleta chokochoko CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara, John Heche amewataka wanachama wa chama hicho kutokuingia kwenye kile alichokiita mtego wa kukipasua chama.

Soma: John Mnyika adai kuna hujuma za kuyumbisha harakati za 'No Reforms No Election' kufuatia pingamizi la uteuzi wa vigogo nane CHADEMA

Akizungumza na wanachama wa chama hicho wa Kanda ya Kaskazini, mkoani Arusha Heche amesema zipo juhudi zinafanyika ili kukipasua chama hicho na kukidhoofisha kutokuendelea na ajenda zake muhimu.

"Walikuwa wanategemea chama hiki kitakufa, tutatoka Mlimani City tumekufa, tumewaonesha nchi nzima watu hawakulala wanaifuatilia Chadema kwa jinsi watu walivyokuwa na matumaini na sisi" amesema Heche
 
Hii sio kauli ya kuunganisha watu bali ni akili za mlevi wa madaraka anayeua kilichojngwa na mwingine kwa jasho na damu.
 
Back
Top Bottom