Hawa vijana hawakuokotwa barabarani. Wamejaa nondoHapo ndipo nilimkubali John Heche. Mawazo yote ya kupunguza matumizi serikalini aliyoyatoa Mwigulu Nchemba alishayasema John Heche takribani Wiki moja nyuma.
Kwa kifupi, Mwigulu Nchemba amecopy na kupaste hoja zote za John Heche kuhusu kupunguza matumizi yasiyo ya lazima serikalini.
Hongera sana John Heche.
Anatupiga kamba Mwigulu.Hakuna matumizi yatakayopunguzwa
MWIGULU na CCM yake uwezo wa Kufikiri umewafika mwishoHapo ndipo nilimkubali John Heche. Mawazo yote ya kupunguza matumizi serikalini aliyoyatoa Mwigulu Nchemba alishayasema John Heche takribani Wiki moja nyuma.
Kwa kifupi, Mwigulu Nchemba amecopy na kupaste hoja zote za John Heche kuhusu kupunguza matumizi yasiyo ya lazima serikalini.
Hongera sana John Heche.
Acha upuuzi wewe,ni Serikali ilishasema Bungeni kwenye Bunge la Bajeti kwamba wanampango wa ku cut bil.554 iki zibakie bil.54 kwa taratibu taratibu maana huwezi kupunguza ghafla kwa mara moja..Hapo ndipo nilimkubali John Heche. Mawazo yote ya kupunguza matumizi serikalini aliyoyatoa Mwigulu Nchemba alishayasema John Heche takribani Wiki moja nyuma.
Kwa kifupi, Mwigulu Nchemba amecopy na kupaste hoja zote za John Heche kuhusu kupunguza matumizi yasiyo ya lazima serikalini.
Hongera sana John Heche.
Nonsense.Acha upuuzi wewe,ni Serikali ilishasema Bungeni kwenye Bunge la Bajeti kwamba wanampango wa ku cut bil.554 iki zibakie bil.54 kwa taratibu taratibu maana huwezi kupunguza ghafla kwa mara moja..
Kwani ukiondoa Chai na vitumbua kwa mara moja Waheshimiwa watakufa....!!?Acha upuuzi wewe,ni Serikali ilishasema Bungeni kwenye Bunge la Bajeti kwamba wanampango wa ku cut bil.554 iki zibakie bil.54 kwa taratibu taratibu maana huwezi kupunguza ghafla kwa mara moja..
Na wewe kwa akili zako unaamini kuna chai ofisini?Kwani ukiondoa Chai na vitumbua kwa mara moja Waheshimiwa watakufa....!!?
Kwani ukiondoa Ma V Eighty kwa mara moja watakonda...!!?
Kwani ukiwaondolea posho kwa mara moja wataumwa?
The fact that FM amesema wanapunguza hela kwenye Chai na vitumbua then naamini kuna pesa ya Chai na vitumbua maofisini. Hilo la nani anakunywa hiyo Chai na vitumbua Inawezekana ni kitendawli kingine. Kwa Tanzania niijuayo inawezekana pia hiyo pesa ikawa inaishia mifukoni.....!!Na wewe kwa akili zako unaamini kuna chai ofisini?
Tuondolee blah blah zako hapa.Acha upuuzi wewe,ni Serikali ilishasema Bungeni kwenye Bunge la Bajeti kwamba wanampango wa ku cut bil.554 iki zibakie bil.54 kwa taratibu taratibu maana huwezi kupunguza ghafla kwa mara moja..
KweliMWIGULU na CCM yake uwezo wa Kufikiri umewafika mwisho