Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche akiongea hivi karibuni amesema kuwa vyombo vya habari nchini Tanzania vinaipendelea CCM na kwamba vyombo vingi vinaripoti vibaya CHADEMA
Akitolea mfano, Heche alisema kuwa:
"Vyombo vya habari angalia coverage wanayofanya, wanafanya coverage ya upendeleo. Wakifanya average ya upinzani wanafanya katika mazingira ya negative stories. Kama ambavyo wananchi inawasetia agenda sasa hivi kwamba CHADEMA kuna mgawanyiko. Kitu ambacho its not true"