Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara John Heche amesema kuwa Watanzania wanahitaji mfumo wa uchaguzi utakaoamua viongozi wao halali ambao watawajibika kwao huku akikemea vikali wabunge aliodai kuwa wamekuwa 'machawa' kwa kujipendekeza kwa Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Amezungumza hayo siku ya Jumatano Februari 12, 2025 akiwa Tarime Mjini mkoani Mara kwenye mapokezi yake baada ya kuchaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti.