FredKavishe
JF-Expert Member
- Dec 4, 2010
- 1,090
- 318
Kesho mh john mnyika atafanya mkutano wa hadhara viwanja vya tanesco kesho nasema tena tena mpaka kieleweke tukutane kesho wale wote nyumba zitakazovyunjwa bila malipo'matatizo ya maji'na mengneyo