mnyika ndiye mbunge bora mpaka sasa si kwa ccm au cdm. ni mbunge aliye karibu sana na wananchi wake na amefanya mikutano mingi sana na wananchi wa ubungo. big up brother and keep it up. tupo pamoja kuhakiksha unafanikisha dhamira yako ya kywasaidia wananchi wa ubungo na watanzania kwa ujumla