John Krasinski ndiye 'mwanaume mwenye mvuto zaidi aliye hai' kwa mwaka 2024

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
John Krasinski ametajwa na jarida la People kama "Mwanaume Mwenye Mvuto Zaidi Aliye Hai" (Sexiest Man Alive) kwa mwaka 2024.

Kwa mujibu wa jarida la "People Magazine" kutoka Marekani, Novemba 11 kupitia onyesho maarufu la "The Late Show" lililoongozwa na Stephen Colbert, Krasinski, muigizaji na mkurugenzi wa filamu mwenye umri wa miaka 45, alitangazwa na kupokea cheo hicho cha heshima.
1731506225799.png
Chapisho hilo limezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii kwani Mpenzi wa Selena Gomez Benny Blanco ali-share video akizungumzia mambo hayo kabla na kufanya wengi kuamini atapewa Cheo hicho cha heshima kinachotamaniwa na wengi.

Mke wa Krasinski, Emily Blunt, ambaye pia ni muigizaji, amefurahishwa na taarifa hiyo na kusema atakapopata nakala za picha za mume wake kwenye jarida hilo, atazibandika nyumbani kwao mjini Brooklyn, ambapo wanaishi na watoto wao wawili, Hazel na Violet.
1731506349243.png
Kupata cheo hicho kumechangiwa pia na uhusika wa Krasinski kwenye filamu maarufu "The Office," na uongozi wake katika filamu aliyoiandika na kuiongoza "A Quiet Place," pamoja na "Some Good News" ambayo ilifanya vizuri, huku mwaka huu akitoa comedy inayoitwa "IF."
1731506462549.png
Mwanaume wa kwanza kupokea cheo hiki cha "Mwanaume mwenye mvuto zaidi" alikuwa Mel Gibson, na wengine waliofuatia ni George Clooney, Idris Elba, John Legend, David Beckham, Dwayne Johnson, na Patrick Dempsey wa mwaka jana.
 
Hawa jamaa wabaguzi sana yaani hata baltazar ameshindwa kuwa men of the year.
 
Hua wanaochagua ni wanawake? Kwana mwanaume ni uchoko kuona mwanaume mwenzako ana mvuto tena eti wa kimahaba,rubbish 😡 !
 
Hawajamuona Balthazar na mimi?????
 
Inatuhusu nini my friend?huyo utakuta ni mke wa mtu.
Tafuta ugali uweke mezani hakuna jingine.
Sexiest man ni babaako ndo mana kakuzalisha wewe kutoka kwa mamaako full stop.
 
Back
Top Bottom