Heshima mbele wakuu.,
Mwenye album za John Lennon na za Beatles naomba aniwekee hapa please...for some reason ext hard drive yangu imegoma kufanya kazi na hizi nyimbo zilikuwemo mle ndani na ni baadhi ya nyimbo ambazo ningependa kuzipata haraka zaidi....na vile vile Rolling Stones...to start with...
Asanteni
MJ