FMES yu wapi?
Nilidhani kishaacha siasa maanake juzi juzi tu aling'oa pump za maji alizokuwa ametoa kama msaada kwa wakazi wa Mtera :smile:
hivi tunaposema watu wakaonyesha vidole au alama ya V ni wangapi? wote au? kama ni wawili tu je wanaleta ushindi??alikuwa hapa itigi jimbo la manyoni magharibi mbalo lina ushindani mkubwa sana na ni wazi ccm inapumulia mashine,akiwa anawaomba watu wampe kura mgombea wa ccm bwana lwanja watu wakamwonyesha alama ya v ya chadema na kusema wanampa lupaa wa chadema,mzee kachanganyikiwa na kafunga kampeni kwa unyonge sana,hapa hata alipokuja kikwete walimwonyesha alama hiyo ya chadema.pole kwa mzee wetu kwa yaliyomkuta leo hapa itigi
acid wewe unazijua siasa za manyoni magharibi?jaribu kuulizia kwa watu watkwambia,nipo hapa nina mwezi wa pili huu,hata leo imebidi mgombea wa manyoni mashariki bwana chiligati aje huku kuokoa jahazihivi tunaposema watu wakaonyesha vidole au alama ya V ni wangapi? wote au? kama ni wawili tu je wanaleta ushindi??
FMES yu wapi?
alikuwa hapa itigi jimbo la manyoni magharibi mbalo lina ushindani mkubwa sana na ni wazi ccm inapumulia mashine,akiwa anawaomba watu wampe kura mgombea wa ccm bwana lwanja watu wakamwonyesha alama ya v ya chadema na kusema wanampa lupaa wa chadema,mzee kachanganyikiwa na kafunga kampeni kwa unyonge sana,hapa hata alipokuja kikwete walimwonyesha alama hiyo ya chadema.pole kwa mzee wetu kwa yaliyomkuta leo hapa itigi
Huyu babu mawazo yanamtinga kwa kweli wanamwonea kumtumia kwene kampeni. Anawaza jinsi Mke wake atakuwa anajimwaga Mjengoni wakati yeye analewa na kujikojolea mchana. Na hivi Mke mdogo bado.....
Nilidhani kishaacha siasa maanake juzi juzi tu aling'oa pump za maji alizokuwa ametoa kama msaada kwa wakazi wa Mtera :smile: