John Malima adaiwa kutekwa. Watekaji walimfuata kwa gari Pugu, kituo cha Daladala

Habari ukiona inaaza na Adaiwa, anadaiwa, analipa haina Mbuli.
 
Hapo mpaka watu wapige kelele ndiyo utawasikia wale vilaza wakijitokeza hadharani na kukiri kumshikilia kwa sababu zao za kipuuzi. Kinyume na hapo, wanampoteza mazima.

Hakika kama nchi tumepatwa!
 
Mpaka watumishi wamefikiwa jamani,hivii huyu mama ana tafuta nini ? Mpaka aue wangapi ndipo atulie? Watu wamelia saana na wengine kuuawa juu ya utawala huu wa mwanamke, Mungu tenda jambo mwaka huu utokomeze huyu mtawala
 
Hayupo wa kusimama sehem iliyovunjika akemee huu ushetani? Kwamba serikali nzima waandamizi wote vyombo vyote vya usalama hakuna wa kuweza kusimama upande wa haki, kama ndivyo basi tumeshafail big time
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…