Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 855
hawa jamaa kwa nini huwa hawaleti hii mijadla yao huku JF au kuna kitu mnawaogopesha?
Kwa nini wako comfortable sana kule kwa Michuzi?
nawasilisha
wanaogopa watakutana na vichwa vitawasambaratisha kule wanakutana na vilaza vinawafagilia kinoma,vingine hata lugha wanayotumia havielewi lakini vinafagilia hoja,kaaz kwel kwel
Kule kuna wengi wanaojifunza kiingereza,kwahiyo kila linaloandikwa kwa kiingereza wanaona kama almasi. Nilishawahi kuuliza kama hawa jamaa wamewahi kupublish kwenye majarida gani ya kisomi sikupata jibu. Lakini humu kuna wataalam wa kila kona. Sina nia ya kushindana lakini kifupi ni kwamba hii ni forum na ile ni blog. Ndio maana hapa watu wanazipambanua mada kwa kina wakati kule ni ushabiki tu kama wa mpira. Hoja ikishatoka ni wanawake kuomba jamaa awaoe etc. Nonsencical arguments tupu!
mmoja ni mwanachama humu ndani
JF wapo up to date sana, kuna mijadala mingine kule inakuta imeshashughulikiwa huku jf wao wanachofanya wanaiandika kwa kiingereza kwa hiyo inaonekana mipya
si unajua kule vilaza wengi
GT, watu wa kule wanadhania wewe ndio us blogger, vipi ya kweli haya??
hawa jamaa kwa nini huwa hawaleti hii mijadla yao huku JF au kuna kitu mnawaogopesha?
Kwa nini wako comfortable sana kule kwa Michuzi?
nawasilisha
Ha ha ha, kweli kabisa Shy,kwa nini asiifanaeniche na wanaBIDII teh teh teh.HEBU JARIBU KUFANANISHA NA HII http://groups.google.com/group/wanabidii?hl=sw
HEBU JARIBU KUFANANISHA NA HII http://groups.google.com/group/wanabidii?hl=sw
kwi wi wi wi ni ya kwangu mkuu unakaribishwa kujiunga.teh teh tehyou guys are funny!
mnanivunja mbavu
hii forum ya nani?
haya mambo ya kila mtu kufungua forum na blog naona yana kazi kweli kweli duh!
duEAST AFRICA MOST DYNAMIC AND ICONOCLASTIC TRUTHSITE AND THE HARDEST HITTING NEWS BLOG ON THE INTERNET!
du
shy hii ndio nini tena
blog ya nani
Mkuu mbona mchokozi hivyo? we si umeombwa uende kujiunga huko? siri za nyumbani kwa mtu unapaswa kuziacha huko huko kwake. teh teh teh mkuu unatishadu
shy hii ndio nini tena
blog ya nani
Mkuu mbona mchokozi hivyo? we si umeombwa uende kujiunga huko? siri za nyumbani kwa mtu unapaswa kuziacha huko huko kwake. teh teh teh mkuu unatisha
Mkuu si unajua tena ma swala ya promo?mimi nauliza kwa ajili sielewi uhusiano kati ya hii blog na hii thread
au labda shy kaiweka mahali sipo
wanaogopa watakutana na vichwa vitawasambaratisha kule wanakutana na vilaza vinawafagilia kinoma,vingine hata lugha wanayotumia havielewi lakini vinafagilia hoja,kaaz kwel kwel